Mbiti ni kiboko mie nacheka hapa kama mjinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahhaaha tetete! vinaunguza balaa !vipo mkoa fulan jaman had unasema hiv ni nn hii
Hahah!, natamani kujua ni wapi lakini nimekumbuka kitu, isije tu kuwa MKOA WANGU..(in Bashite's voice)
Amenishindwa kwa kweli, naona Shemela wetu anapewa message Indirectly! [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
hahha namuona 'kauzu' ahahah uwiii !magu kabana had watu wanajifanya makauzu! ngj nimtizamie wk hii hyo schoo fees
Teh teh vipo vya kumwaga iringa na moro
Hahah!, hicho ni kipimo haswa, lakini naona Shemela hasikii wala haelewi...lol!
Sent using Jamii Forums mobile app
hahhaa kimya hatar sijui wanangu wakirudishwa shule atafurah ? hha na huku mwenzake nishaanza VISA! nimeburn cd za taarab na wimbo wa msaga sumu hahahah bas nazipigajee!kitu chokochoko tu !lol
Hahahhaaaaa!, lakini wewe!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu nyimbo za Msaga sumu zilivyo...lol!
Message will be Sent! [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
haha kule vipo vya uganda atleast !
Teh!, kuna mtu alitucheka humu, kulikuwa na show la mziki la kufa mtu Kirumba, wakasema eti tulijazana hapo na mayebo yebo yetu..
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahah eti had harusin unapigwa jaman hhhaha !hatr sana
ahahahha nimeusikia jms nikabak nashngaa tu hahaha watu weweweeee
hahaha na kweli mama wa bwana harus lazima uchoke !hahha
Hahaha!, wasijefanya wamama wa bwana harusi wawe na huzuni tu kwenye harusi za vijana wao mwimbo unapopigwa..