Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Umesahau na haya maandishi "ukinywa maji unamuona kwenye glass kama maandishi ya made in china" [emoji275] [emoji275]
 
50 zingine unazipeleka wap shem wangu

Sent using Jamii Forums mobile app

MUME kuwa makini na hawa mashoga !tuwaalike mara 1 wakat wa harus yetu !tukimaliza hapo hapana !hawa ni wadada wa kileo !asbh kwa mtu anataka soup hatutaweza !na ada zenyewe zinavyotupelekesha puta! hapana nijali mkeo tu kuninunuia gold,matenge ya haja !ning'arishe mkeo mashost wanijue hapa mjini
 
Sawa tukomeshe tuu Mrs nanyupu [emoji57][emoji57][emoji57]
 
ahahhaha alafu limekuja balaaa !kijana mbichiiiiiiiii soon na mie naonekana kijana dadek zao hawa ! sema kila sms ikiingia nafikriaga tigopesa tu nadhan miss chaga na espy wameniachia hii aisee !jana ash naona sms ya tgps nikakshussha pumzi nikajua school fees !mwe kumbe gawio tena sh 5/
 
Mama ongea na watu upate viatu, nini tigopesa? Watu tunatuma TT (telegraphic transfer) kabisa ujue ni mkwanja mrefu, achana na hao wanaoishi kwa nguvu za M-Bet. Kwan New Jamarat cafe makumbusho uifahamu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama ongea na watu upate viatu, nini tigopesa? Watu tunatuma TT (telegraphic transfer) kabisa ujue ni mkwanja mrefu, achana na hao wanaoishi kwa nguvu za M-Bet. Kwan New Jamarat cafe makumbusho uifahamu???

Sent using Jamii Forums mobile app

hahhaha hebu acha bas kunichekesha hahha !hapana siifaham !we ukoo wenu ni famous sana ! nahakika siku ujtaamka muamala wa haja ! lol
 
Back
Top Bottom