donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Soo tigopesa tu mkuu, wengine hapa tunacheza na TTNadhani the issue hapa sio kuchekea chekea wanaume hovyo bali ni unajaribu kuchekea wanaume unaohisi wanapesa ndefu,
Mi nadhani mkae muongee na shemej ajitahidi kukutumia pesa mara kwa mara ili hako kaugonjwa cha kuchekelea pesa za watu uache faster,
Mwambie Shem hizo I love you so much ziambatane na mihamala ya tigopesa /mpesa
Sent using Jamii Forums mobile app