50 zingine unazipeleka wap shem wanguOkey asanteh kwa ushirikiano wako shemeji yetu kipenzi, unaonekana unaroho nzuri sana alafu sio mbahili, kwahilo tuu Shem nimekupa 50%
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona unaandaa mazingira, alafu msisitize kwamba tupo wengi kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah!, umeona Ney, naandaa kabisa dear ajiandae na jinsi tutakavyokuwa tunawatembelea kila siku kuwajulia hali...lol
Hahahahahaha acha nicheke mie
Sent using Jamii Forums mobile app
50% zingine atazitoa mkeo ili uweze kukamilisha [emoji817]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan ni mwendo wa hodi tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tehe!, Itabidi tuwe tunabeba na vinywaji vyetu ili tukaribishwe KILA SIKU
MBITIYAZA asije tutimua bure..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee thubutu yake hana jeuri hiyo
Kabisa lazima tumfunde,HAHA!, tutamuwekea kikao cha ukoo...lol!
Bhalete bhalete bhagheshiPoa poa kuna mmoja alikuwaga ananitaka had akawa anakuja pm sema nikampotezeaga nitakunganishia kwa huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko nakunywa peps yangu hapa nikingonjea jibu langu kutoka kwa mtoto mzur
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8]
Sawa tukomeshe tuu Mrs nanyupu [emoji57][emoji57][emoji57]MUME kuwa makini na hawa mashoga !tuwaalike mara 1 wakat wa harus yetu !tukimaliza hapo hapana !hawa ni wadada wa kileo !asbh kwa mtu anataka soup hatutaweza !na ada zenyewe zinavyotupelekesha puta! hapana nijali mkeo tu kuninunuia gold,matenge ya haja !ning'arishe mkeo mashost wanijue hapa mjini
Sawa tukomeshe tuu Mrs nanyupu [emoji57][emoji57][emoji57]
Mama ongea na watu upate viatu, nini tigopesa? Watu tunatuma TT (telegraphic transfer) kabisa ujue ni mkwanja mrefu, achana na hao wanaoishi kwa nguvu za M-Bet. Kwan New Jamarat cafe makumbusho uifahamu???ahahhaha alafu limekuja balaaa !kijana mbichiiiiiiiii soon na mie naonekana kijana dadek zao hawa ! sema kila sms ikiingia nafikriaga tigopesa tu nadhan miss chaga na espy wameniachia hii aisee !jana ash naona sms ya tgps nikakshussha pumzi nikajua school fees !mwe kumbe gawio tena sh 5/
Mama ongea na watu upate viatu, nini tigopesa? Watu tunatuma TT (telegraphic transfer) kabisa ujue ni mkwanja mrefu, achana na hao wanaoishi kwa nguvu za M-Bet. Kwan New Jamarat cafe makumbusho uifahamu???
Sent using Jamii Forums mobile app