donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Hahaha umeona mama? Mi nakwambia, yaan ukizoea vinywaji kama balimi haina tofauti na mtu aliyezoea kunywa chai na sukari gurujaman nimecheka !dah !kweli dunia haipo fair hahahahh ! dah hizo shares jaman za mbele namn hyo !hahahaahaa kina sie tunaota tunarogwa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! ila ukweli wanywaj wa balimi mhhh !
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1 Corinthians 15:32 ' Let's eat and drink for tomorrow we shall die'.'....
Halafu umeona mkuu, sio kina nanyupu wazee wa balimi, tunakunywa vitu brandi vitu imported yaan hata ukilala unaota unanunua shares kwenye NYSE sio mambo ya kulala unaota jirani anakuroga.
Sent using Jamii Forums mobile app
uchochez huu shemuSasahivi anafurahia ahadi,hapo bado hazijatimia zikitimia sijui itakuwaje
Shemeji yangu kuwa na amani kabisa, hapa najaribu tuu kumsimanga ili aache mazoea na the Don, kwahiyo tukiwa tunamkumbusha ataona aibu kuliko kukaa kimya Shem.
Hahaha umeona mama? Mi nakwambia, yaan ukizoea vinywaji kama balimi haina tofauti na mtu aliyezoea kunywa chai na sukari guru
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna huo uwezo mkuu saiz yako wewe nenda pale sinza mor utapata tena midaa hii ni wa kumwaga, lakin watoto wa masaki wenye chura tuachie sie watoto wa mwanza mwanza nanyupu na youngkilerHahaha mkuu sitaki kuongelea inbox zilizojaa nafkiri ukichek vizur kwenye picha pale utaona ni shida. Am just doing this for fun chief
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh hongera mpz, acha siye tupambane na hali zetu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shemeji yangu kuwa na amani kabisa, hapa najaribu tuu kumsimanga ili aache mazoea na the Don, kwahiyo tukiwa tunamkumbusha ataona aibu kuliko kukaa kimya Shem.
Ndio mwaya tunawasubiria kina Mr pampulaahahha ney umeandika km umekata tamaaaa hahahah !dah !hatar sana hii jaman ! aiseee !
Hahah sasa chakushangaza wote tunatokea huko mwanza af mkuu mi,sio mdau wa kununua huduma hiyo. Inaonekana kidogo una kauzoefu kwenye tasnia hiyo mkuuHuna huo uwezo mkuu saiz yako wewe nenda pale sinza mor utapata tena midaa hii ni wa kumwaga, lakin watoto wa masaki wenye chura tuachie sie watoto wa mwanza mwanza nanyupu na youngkiler
Sent using Jamii Forums mobile app
Shemeji yangu kuwa na amani kabisa, hapa najaribu tuu kumsimanga ili aache mazoea na the Don, kwahiyo tukiwa tunamkumbusha ataona aibu kuliko kukaa kimya Shem.
Ndio mwaya tunawasubiria kina Mr pampula
Asante shemu wangu wala usiwe na was was kuhusu huyo sijui nan huyo sijui don maana hana kitu kabisa ni sawa na nyoka wa kibisaShemeji yangu kuwa na amani kabisa, hapa najaribu tuu kumsimanga ili aache mazoea na the Don, kwahiyo tukiwa tunamkumbusha ataona aibu kuliko kukaa kimya Shem.
Mama ngoja kidogo nikadake ka kinywaji hapo runaway lounge nirudi kuangalia series yangu maana am running out of stock... baadae, ati? [HASHTAG]#SeduceMe[/HASHTAG]nshaacha jaman nna ndoa changa bado
Mama ngoja kidogo nikadake ka kinywaji hapo runaway lounge nirudi kuangalia series yangu maana am running out of stock... baadae, ati? [HASHTAG]#SeduceMe[/HASHTAG]View attachment 578615
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh kumbe hana lolote basi sawa hamna neno kabisa shemeji yangu, hawatanishughulisha tenaAsante shemu wangu wala usiwe na was was kuhusu huyo sijui nan huyo sijui don maana hana kitu kabisa ni sawa na nyoka wa kibisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha zunga mkuu mademu wenyewe huna afu unajifanya sio mdau,Hahah sasa chakushangaza wote tunatokea huko mwanza af mkuu mi,sio mdau wa kununua huduma hiyo. Inaonekana kidogo una kauzoefu kwenye tasnia hiyo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama ngoja kidogo nikadake ka kinywaji hapo runaway lounge nirudi kuangalia series yangu maana am running out of stock... baadae, ati? [HASHTAG]#SeduceMe[/HASHTAG]View attachment 578615
Sent using Jamii Forums mobile app
Jinsi ulivo levi levi unazan kila mtu ni mlev sio?Hahaha umeona mama? Mi nakwambia, yaan ukizoea vinywaji kama balimi haina tofauti na mtu aliyezoea kunywa chai na sukari guru
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nitammiminia vinegar atapike mpaka utumbo [emoji57][emoji57]ahha waje wananuka mabalimi yao wawatake kuwakiss pyeeeeeeeeeee