Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Nakuzimikia sana MBITIYAZA

jaman nimecheka !dah !kweli dunia haipo fair hahahahh ! dah hizo shares jaman za mbele namn hyo !hahahaahaa kina sie tunaota tunarogwa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! ila ukweli wanywaj wa balimi mhhh !
Hahaha umeona mama? Mi nakwambia, yaan ukizoea vinywaji kama balimi haina tofauti na mtu aliyezoea kunywa chai na sukari guru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Corinthians 15:32 ' Let's eat and drink for tomorrow we shall die'.'....
Halafu umeona mkuu, sio kina nanyupu wazee wa balimi, tunakunywa vitu brandi vitu imported yaan hata ukilala unaota unanunua shares kwenye NYSE sio mambo ya kulala unaota jirani anakuroga.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha mkuu sitaki kuongelea inbox zilizojaa nafkiri ukichek vizur kwenye picha pale utaona ni shida. Am just doing this for fun chief

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna huo uwezo mkuu saiz yako wewe nenda pale sinza mor utapata tena midaa hii ni wa kumwaga, lakin watoto wa masaki wenye chura tuachie sie watoto wa mwanza mwanza nanyupu na youngkiler

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna huo uwezo mkuu saiz yako wewe nenda pale sinza mor utapata tena midaa hii ni wa kumwaga, lakin watoto wa masaki wenye chura tuachie sie watoto wa mwanza mwanza nanyupu na youngkiler

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah sasa chakushangaza wote tunatokea huko mwanza af mkuu mi,sio mdau wa kununua huduma hiyo. Inaonekana kidogo una kauzoefu kwenye tasnia hiyo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shemeji yangu kuwa na amani kabisa, hapa najaribu tuu kumsimanga ili aache mazoea na the Don, kwahiyo tukiwa tunamkumbusha ataona aibu kuliko kukaa kimya Shem.
Asante shemu wangu wala usiwe na was was kuhusu huyo sijui nan huyo sijui don maana hana kitu kabisa ni sawa na nyoka wa kibisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nshaacha jaman nna ndoa changa bado
Mama ngoja kidogo nikadake ka kinywaji hapo runaway lounge nirudi kuangalia series yangu maana am running out of stock... baadae, ati? [HASHTAG]#SeduceMe[/HASHTAG]
IMG_20170831_001320.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom