Baby weng wanachukia wewe kunipenda mimihahahaha jaman Azarel mbn km sikuelewi ! jaman achen bas na mie ndo bahat yangu hii! hebu ifike pahala tuachiane gap km hizi !usk umekuwa mfupi sana kwangu !hapa nawaza navaa shela aina gan
Acha blablah! Kalipe school fees za watoto wawili kwanza!
hahahahaa,naenda kwa demi
Geita katoro ni nyumban kwa wazaz lakin sisi baby tutaish MWANZA IGOMA maana ndo nakoish
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzur baby wangu una msimamo nilikosa mtu kama wewe kwa mda mrefu sanai love flowers too !waache waseme !
Toka jana huish kunizonga najua roho inakuuma sanaAcha blablah! Kalipe school fees za watoto wawili kwanza!
Kisha toa gharama za binti kuchezwa your step daughter[emoji23]
Maua hata shuleni yapo!
DJ sepetu
Uzur baby wangu una msimamo nilikosa mtu kama wewe kwa mda mrefu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua tuu utakuwa umejichimbia kwenye nyuzi kam hizi...Mbitiyanza ukuje huku, naona kuna mfariji wako
Acha blablah! Kalipe school fees za watoto wawili kwanza!
Kisha toa gharama za binti kuchezwa your step daughter[emoji23]
Maua hata shuleni yapo!
DJ sepetu
Toka hapa nawewe unazingua
Unaagiza pepsi halafu unasubiria jibu kwa watoto wanaoshusha King roberts na Heinken?
Hiyo si disqualification mojawapo?
!
[emoji23] [emoji23]
Aisee kumbe misasi baby ndo home now niko dodoma jumatano narud mwanza nitapita hapo misas wangu japo nipitishe zawad kwa wazaz wetu mpenzumeona sasa raha hii ya kuishi mjin?? mie namm misasi ni kwa wazaz !bas mbn raha tu jaman! nakufaham igoma ila sio sana ! hakuna shida ! rum 1 itatutosha tu mie sina mambo meng bby angu
LI KIGAGULA LIMEINGIA KINGI[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji378] [emoji379]
Aisee kumbe misasi baby ndo home now niko dodoma jumatano narud mwanza nitapita hapo misas wangu japo nipitishe zawad kwa wazaz wetu mpenz
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu subili tu mwaliko siku ya harus sendof misas harus geitaSijakataa mkuu...na nakutakia kila la heri ndugu yangu.
Huna akili ww bibihahhaahha wewe ujue ban zako zote mie ndo nakupelekea upate !leo hunipati aisee !nishakutupa kwenye dustbin!
sana sana kwangu uje uwe unaosha mbwa wangu best !