Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu

Kwakweli mimi huwa namzimikia sana huyu bidada single Mother anayejulikana kama mbiti yaza, nakupenda sana mbiti yaza, moyo wangu umekufa na umeoza juu yako

Naomba masela mnisaidie kumtag japo auone huu ujumbe special kwa ajili yake

Sina cha zaid na kingine kwako zaid ya kukukabiz moyo wangu uufanye utakavyo baby mbitiyaza

Mwaaaaaaaaaa


LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wa mtu huyo

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Back
Top Bottom