Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Hmm.. MBITIYAZA ni single mother kweli.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo amfuate pm asingeweka hapa barazani![emoji23]Tabia za kike hizi mkuu, nadhani mwenye majibu ni MBITIYAZA sio wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani kila mtu anapajua huko pm mkuuKwa hiyo amfuate pm asingeweka hapa barazani![emoji23]
DJ sepetu
Muelekeze wewe ndugu yake[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tegemea kukutana na hili neno akikuja "DHALILISHO"😀
Naamini akija nitapata jibu bora sanaTegemea kukutana na hili neno akikuja "DHALILISHO"😀
Niahaagiza peps barid mkuuAgiza kinywaji huku ukisubiria majibu yako atakuja tu soon
Kasema ni single maza.Kupenda penda vilivyo vyawatu ujiandae kwa Lolote!
Ngoja aje...Sijaharibu mkuu nikikuwa naweka msisitizo ili asiwe mnyonge ajue niko tiar kwa lolote lile
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye peps umejitahidi, na alikuwa anaomba mungu sana asipate mlevi...tehNiko nakunywa peps yangu hapa nikingonjea jibu langu kutoka kwa mtoto mzur
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wa mtu huyoAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu
Kwakweli mimi huwa namzimikia sana huyu bidada single Mother anayejulikana kama mbiti yaza, nakupenda sana mbiti yaza, moyo wangu umekufa na umeoza juu yako
Naomba masela mnisaidie kumtag japo auone huu ujumbe special kwa ajili yake
Sina cha zaid na kingine kwako zaid ya kukukabiz moyo wangu uufanye utakavyo baby mbitiyaza
Mwaaaaaaaaaa
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app
Bas atakuwa kapata maana huwa sigus kabisa kilevyi chochote kile zaid ya peps na seven upHapo kwenye peps umejitahidi, na alikuwa anaomba mungu sana asipate mlevi...teh