The List
JF-Expert Member
- Mar 25, 2017
- 1,732
- 4,924
Hahahaaaa huku kwetu ni 0713[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mkuu kabla ya kuzimika ungejua kwanza maana ya MBITIYAZA, kwa kukusaidia tu ni manaa yake ni FISI MWEKUNDU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa huku kwetu ni 0713[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mkuu kabla ya kuzimika ungejua kwanza maana ya MBITIYAZA, kwa kukusaidia tu ni manaa yake ni FISI MWEKUNDU
[emoji23] [emoji23] hivi jamani hizi harusi ni za kweli?Wacha wewe nasikia haya yatakuwa mapozi yenu hiyo siku[emoji23] [emoji23]![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
DJ sepetu
Ngosha asipokimbia baasi yeye mwanaume, nitamuita shemeji kwa nguvu zote loohUlipo niua hapo kwenye skuli fizi ya team ya Pili na kuchezwa kwa bint yetu.
Yaani jamaa kafika kwa wakati kabisaaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaaa huku kwetu ni 0713[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Sijawahi kuzionahahaaa,sawa.tatzo ww hujib PM zang
IpooooNasikia chura ipo!
Oohoo! Wenzako wako serious we unawauliza[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nanyupu Na mbitiyaza siku wakipanga kuonana live!!
Itakuwa hivi
Nanyupu:hello baby uko wapia nimeshafika stendi ya nyegezi hapa!
Mbitiyaza:ndo tunaingia stend baby umevaa nguo gani!
Nyanyupu:suruali nyekundu Na pama kama la magu.wewe je
Mbitiyaza: teneti la zambarau halafu nilisahau kukuambia Nina ujauzito Wa yule jamaa Wa mwisho
Usijali Lea hii tu mimba itakayo fuata yako!
Nanyupu:sawa tu! Baby Mimi pia tumekuja kukupokea Na wanangu 7nilisahau kukuambia!
DJ sepetu
SawaMe mwenyew nakupendaga sema bas tu .....ila najua siku moja nitakupata
Sent using Jamii Forums mobile app
Mrs. Nanyupu heshima yako...hivi wewe shemela Transcend mbn unaninyima uhuru wa kupendwa mie? hebu nenda love connect uone nan anaongoza kutafta mwenza km wanawake !
imetokea bahat nzuri km hii naanzaje kuiachia inipite !khaa! umri wangu umeisha km sio kwenda leo hii naanzaj kuikataa damu changa namna hii jaman!khaaaaaaaaa shem bana
Maneno mengi vitendo zero
Kizuri kula na mwenzio pacha.haahahahahha huyo demi nae kazi kunichukulia watu wangu tu !aisee dis tym sikubali nawaamshia dude aise
Please nifundishe pa kuanzia ili nikupate kirahisi my dear!Ipoooo
Aiseee...pampula chaliiiinanyupu wanaume siku hzi wamekuwa adimu hawatongozi tena ! binafs siamin sana km upo serious na kunipenda ! kweli bwana hujakosea kuniita single maza ! sina mume achana na demi ,Neybright ,Cajojo shida yao wanataka niendelee kupauka tu ! watasema sana lakini ziba maskio !
nipo tayar ht kwa ndoa ya boman mkuu ! hata mwez ujao nippo tayar !nimechoka sana maisha ya upweke umekuja damu changa kwa muda muafakaa !njoo tujiachie ,twende beach kupunga upepo,tule maisha!
popote ulipo nanyupu jua nimekukubalia ombi lako ! umekuja muda muafaka na ada ya wanangu ya term ya 2 sikuwa nimeliipia asante ukaaye palipoinuka kuniletea mtu huyu !
tuanze kwanza na la school fees mengine yatafuata!
pia nina kabinti kameshavunja ungo december nataka kumcheza (baba alikua mzaramo kuchezwa lazima) hvyo uje pm tuanze maandalizi ya shughuli
NAKUPENDA nanyupu ! uwe na usk mwema
Kumbe bahili? Basi simtaki tenasema wewe kila siku kuniomba acc no hawek chochoteee hehehehe huyu nimteme tu !kila siku naangalio salio tgpesa wapii ! khaa we BILGERT ndo nishakutema! tafuta wa kufanana na ww !mie ndo nhamishia maisha geita katoro! nikale thato mie