Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Mkuu kabla ya kuzimika ungejua kwanza maana ya MBITIYAZA, kwa kukusaidia tu ni manaa yake ni FISI MWEKUNDU
Hahahaaaa huku kwetu ni 0713[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Wacha wewe nasikia haya yatakuwa mapozi yenu hiyo siku[emoji23] [emoji23]
700dfb5c1e5955e0ba9f96a08bbe1ad9.jpg
58c2caec075f6f61e1ec2a76e28b5584.jpg
6187ac9c62dc5c01beed30a877419485.jpg
e3feaf533a6dd832e2b19d892f5a26ee.jpg
2dbeb918c95913dd7624ca64d1d50b92.jpg
a2ca7994ad9c9564db2a25c7b478bc6d.jpg


DJ sepetu
[emoji23] [emoji23] hivi jamani hizi harusi ni za kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nanyupu Na mbitiyaza siku wakipanga kuonana live!!
Itakuwa hivi

Nanyupu:hello baby uko wapia nimeshafika stendi ya nyegezi hapa!

Mbitiyaza:ndo tunaingia stend baby umevaa nguo gani!

Nyanyupu:suruali nyekundu Na pama kama la magu.wewe je

Mbitiyaza: teneti la zambarau halafu nilisahau kukuambia Nina ujauzito Wa yule jamaa Wa mwisho
Usijali Lea hii tu mimba itakayo fuata yako!

Nanyupu:sawa tu! Baby Mimi pia tumekuja kukupokea Na wanangu 7nilisahau kukuambia!



DJ sepetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hivi wewe shemela Transcend mbn unaninyima uhuru wa kupendwa mie? hebu nenda love connect uone nan anaongoza kutafta mwenza km wanawake !
imetokea bahat nzuri km hii naanzaje kuiachia inipite !khaa! umri wangu umeisha km sio kwenda leo hii naanzaj kuikataa damu changa namna hii jaman!khaaaaaaaaa shem bana
Mrs. Nanyupu heshima yako...
 
nanyupu wanaume siku hzi wamekuwa adimu hawatongozi tena ! binafs siamin sana km upo serious na kunipenda ! kweli bwana hujakosea kuniita single maza ! sina mume achana na demi ,Neybright ,Cajojo shida yao wanataka niendelee kupauka tu ! watasema sana lakini ziba maskio !

nipo tayar ht kwa ndoa ya boman mkuu ! hata mwez ujao nippo tayar !nimechoka sana maisha ya upweke umekuja damu changa kwa muda muafakaa !njoo tujiachie ,twende beach kupunga upepo,tule maisha!

popote ulipo nanyupu jua nimekukubalia ombi lako ! umekuja muda muafaka na ada ya wanangu ya term ya 2 sikuwa nimeliipia asante ukaaye palipoinuka kuniletea mtu huyu !

tuanze kwanza na la school fees mengine yatafuata!

pia nina kabinti kameshavunja ungo december nataka kumcheza (baba alikua mzaramo kuchezwa lazima) hvyo uje pm tuanze maandalizi ya shughuli


NAKUPENDA nanyupu ! uwe na usk mwema
Aiseee...pampula chaliiii
 
sema wewe kila siku kuniomba acc no hawek chochoteee hehehehe huyu nimteme tu !kila siku naangalio salio tgpesa wapii ! khaa we BILGERT ndo nishakutema! tafuta wa kufanana na ww !mie ndo nhamishia maisha geita katoro! nikale thato mie
Kumbe bahili? Basi simtaki tena
 
Back
Top Bottom