Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
- Thread starter
- #581
Hahahahaha we kalia kiki wakat wenzako mapenz ni moto moto kuanzia pm WhatsApp na insterHahahaaha...haterz will say mnatafuta kiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha we kalia kiki wakat wenzako mapenz ni moto moto kuanzia pm WhatsApp na insterHahahaaha...haterz will say mnatafuta kiki
45 unaiona mbali miaka inaenda fasta
Jamani..kiburi cha lowasa sikitaki na kinipitie mbali.hahaha! unakta tamaa saana na ww sasa ! teh teh kuwa km LOWASA
Jamani..kiburi cha lowasa sikitaki na kinipitie mbali.
Roho baby inauma nina wivuhahaha natania tu wala sipogo serious na BILGERT kwanza simtak tena
Ha ha jamani usinichekeshe. Jembe hilo mi nimelishindwakha ! sasa na kiburi cha magu je?
Ha ha jamani usinichekeshe. Jembe hilo mi nimelishindwa
Kubali ukatae jamaa ni shida. utamkubali utake usitakepyeeeeeeeee
Kubali ukatae jamaa ni shida. utamkubali utake usitake
Pole. Hapa kazi tu!USHANIHARIBIA SIKU
Acha zako wenzako tushabadilishana had namba tunatumiana tu mapicha WhatsApphahaa,huyo jamaa ako ana wivu kinoma..ukute hata PM hajaja