Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Nakuzimikia sana MBITIYAZA

nanyupu wanaume siku hzi wamekuwa adimu hawatongozi tena ! binafs siamin sana km upo serious na kunipenda ! kweli bwana hujakosea kuniita single maza ! sina mume achana na demi ,Neybright ,Cajojo shida yao wanataka niendelee kupauka tu ! watasema sana lakini ziba maskio !

nipo tayar ht kwa ndoa ya boman mkuu ! hata mwez ujao nippo tayar !nimechoka sana maisha ya upweke umekuja damu changa kwa muda muafakaa !njoo tujiachie ,twende beach kupunga upepo,tule maisha!

popote ulipo nanyupu jua nimekukubalia ombi lako ! umekuja muda muafaka na ada ya wanangu ya term ya 2 sikuwa nimeliipia asante ukaaye palipoinuka kuniletea mtu huyu !

tuanze kwanza na la school fees mengine yatafuata!

pia nina kabinti kameshavunja ungo december nataka kumcheza (baba alikua mzaramo kuchezwa lazima) hvyo uje pm tuanze maandalizi ya shughuli


NAKUPENDA nanyupu ! uwe na usk mwema
Shikamoo muhenga! [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani ukiwa na true love ndio huwi na mahitaji? And if thats the case basi hiyo true love ina ualakini.


sasa mwenzako nilikua hivi ! siombi/ siletewi kila siku masifa ya kijinga tu oh we ndo wife materials,blah blah kibao ! huon sasa navyohangaika shogangu ?? nilimshape hvyo huyu sasa hv napiga had ukunga pampula hata ajitose akuletee walau BRA !WAPIIIIIIIIIIIIIIIIII ! ndo nshaanza huku nyumba ndogo nisimlee km yule nyumba kubwa yangu !teh teh ! najua wewe wajitambua ! mie nilikua zwazwa dadek zangu

nasisitiza tena nanyupu
 
Back
Top Bottom