Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amenishindwa kwa kweli, naona Shemela wetu anapewa message Indirectly! [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amenishindwa kwa kweli, naona Shemela wetu anapewa message Indirectly! [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa Shem tunakuaminia.
Halafu nikukumbushe tu kuwa sisi hupenda sana kutembeleana, so tutegemee..[emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahha namuona 'kauzu' ahahah uwiii !magu kabana had watu wanajifanya makauzu! ngj nimtizamie wk hii hyo schoo fees
Nalendwa fanya namm nikupate baasi
hhhaaaaha nisamehe mkuu nimecheka
Toka jana nakuambia tatizo nyotaYaani mpaka saivi na maburungutu yangu yote sijafanikiwa kung'oa mtoto? Kweli nimeamini ukiona kuku kwa mganga basi jua rangi imemponza.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijal shem hata mkiwa ishirin poa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona unaandaa mazingira, alafu msisitize kwamba tupo wengi kidogo
Mbona mkuu una tanga tanga sana mara demi mara nalendwa duh haya bwanaNalendwa fanya namm nikupate baasi
Babby mom hapend hizo nyimbo anatakaga zile za akina bugadala na akina mwana sayehahahahhaahahahhaahh huu wimbo nux sana jaman
Umejuaje maanaHahaha!, wasijefanya wamama wa bwana harusi wawe na huzuni tu kwenye harusi za vijana wao mwimbo unapopigwa..
Ngoja nitumie plan b mkuu, yaan pamoja na id yako kukaa kimazingara still unang'oa? Wallahi namm naomba hiko 'kizizi gangama'
Ahahahaha mkuu sisi watoto wa kisukuma tunapendwa kwa mambo mengi wala sio mzizi pekeeNgoja nitumie plan b mkuu, yaan pamoja na id yako kukaa kimazingara still unang'oa? Wallahi namm naomba hiko 'kizizi gangama'
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani id ya nanyupu ni ya kimazingila sana? Mbona baby wangu mbiti anaipenda sana maana huwa naona kila mda cc nanyupuNgoja nitumie plan b mkuu, yaan pamoja na id yako kukaa kimazingara still unang'oa? Wallahi namm naomba hiko 'kizizi gangama'
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu kumbe wewe ni,bagheshi kabisa?Ahahahaha mkuu sisi watoto wa kisukuma tunapendwa kwa mambo mengi wala sio mzizi pekee
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wa nyumbani inabidi usiniache nduguyo nataabika, nipe pasi moja matata nifunge kwa tiktak
Poa poa kuna mmoja alikuwaga ananitaka had akawa anakuja pm sema nikampotezeaga nitakunganishia kwa huyoSasa wa nyumbani inabidi usiniache nduguyo nataabika, nipe pasi moja matata nifunge kwa tiktak
Sent using Jamii Forums mobile app
Okey asanteh kwa ushirikiano wako shemeji yetu kipenzi, unaonekana unaroho nzuri sana alafu sio mbahili, kwahilo tuu Shem nimekupa 50%