donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Huu ndio muda wakufanya kitu wana intelejensia wanaita seize and control of the ground of tactical importanceNaona umefurahia mkuu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio muda wakufanya kitu wana intelejensia wanaita seize and control of the ground of tactical importanceNaona umefurahia mkuu...
Ha haaa kila la kheriiHuu ndio muda wakufanya kitu wana intelejensia wanaita seize and control of the ground of tactical importance
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nimtwange kwanza lidedicationHa haaa kila la kherii
PoleHuku nilipo internet yao hovyo sana. Na wala si mbali na mjini.
Walinionea shem wangu sikuwa hata na kosaSijui kanyaje shem wangu huyu. Na alivyo mpole watakuwa wamemuonea.[emoji23][emoji23]
Nishakwambiaga huwez hata kidogo we huna madhara ni kama vile limdoliHuu ndio muda wakufanya kitu wana intelejensia wanaita seize and control of the ground of tactical importance
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui ulifanya nn?
Niliwauliza kosa kwanini wamenipiga ban, wakambia nilitumia lugha ya matus nikawauliza lugha gan hiyo hawajanijibu had leoHujui ulifanya nn?
Ulifanya kosa gani shemeji yetu mpaka ukapewa kifungo?
Sijui hata kosa shemeji yangu lakin leo niliwauliza wakasema nilitumia lugha ya matus, nikawauliza matus gan hawajanijibu had sasaUlifanya kosa gani shemeji yetu mpaka ukapewa kifungo?
Welcome back chiefNiliwauliza kosa kwanini wamenipiga ban, wakambia nilitumia lugha ya matus nikawauliza lugha gan hiyo hawajanijibu had leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mke wangu mzima lakin wewe dearaisee mume pole mie nashangaa sikuon !net nilipo utata mtupu
Jamaa alifurahia sana mimi kupigwa banhahh nimekukumbuka leo nikajikuta nacheka !naona unamkaribisha shem wako