Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Umeniona nyonyo, zimesimama kuzidi msumari. hahahaahahah. aliyempamba bibi harusi wetu Mungu anamuona. hahahahahπππππNakwede nakugawa wewe..hahaha...nilijua ni kweli..maana najua ulipiga kilaji sio mchezo hahaha lol..ww unajijua akili zako
ππππππππNaweka namba fasta [emoji3][emoji3]
ππππππππππππHarusi kama hii ni mbuzi mmoja tu anapikwa pilau, jogoo na wali mweupe kama kilo tano kwa wasiokula pilau. Mchele kilo 50,
Rubens black current chupa 5 zinakuwa daluted kwenye ndogo na mabonge ya barafu.
Mnaacha historia kijijini watu walikula mpaka wakasaza.
hahahahahhaha, karibu usijaliKwa hiyo ndio basi tena [emoji22]
Angekuwa mjini wange i busti wenyewe wanaita kupiga jeki, wala usingejua kuwa ni "ndala" hahahahahaahNyonyo sasa. .kama chupa la chai
Vunta hivi iko Lushoto au Same?Hapo mbona kama ni kule Vunta!
Nitakujahahahahahhaha, karibu usijali
Karibu sanaaanaaaNitakuja
Direction nipeweKaribu sanaaanaaa
Ngoja nikupe kule PIEMU, hahahahahDirection nipewe
Na waitNgoja nikupe kule PIEMU, hahahahah
Nimefanikiwa kuolewa na kufunga ndoa takatifu ndani ya kanisa fulani takatifu.
Naambatanisha picha "yangu" na ya hubbyView attachment 1149177
hahahaahhah, jamani., tehe tehe thehahahah, si cha muhimu na mie nivae kama mzungu. ahahahhahaHayo matiti yamekosa sidiria?
hahahaahhah, jamani., tehe tehe thehahahah, si cha muhimu na mie nivae kama mzungu. ahahahhaha
Ushauri wako nimeupokea, nikiolewa tena nitavaaVaa sidiria muhimu upendeze