Nakwede: Jumamosi 6/7/2019 nilifunga ndoa takatifu

Nakwede: Jumamosi 6/7/2019 nilifunga ndoa takatifu

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜™Nakwede nakugawa wewe..hahaha...nilijua ni kweli..maana najua ulipiga kilaji sio mchezo hahaha lol..ww unajijua akili zako
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜™Nakwede nakugawa wewe..hahaha...nilijua ni kweli..maana najua ulipiga kilaji sio mchezo hahaha lol..ww unajijua akili zako
Umeniona nyonyo, zimesimama kuzidi msumari. hahahaahahah. aliyempamba bibi harusi wetu Mungu anamuona. hahahahah
 
Harusi kama hii ni mbuzi mmoja tu anapikwa pilau, jogoo na wali mweupe kama kilo tano kwa wasiokula pilau. Mchele kilo 50,

Rubens black current chupa 5 zinakuwa daluted kwenye ndogo na mabonge ya barafu.

Mnaacha historia kijijini watu walikula mpaka wakasaza.
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Back
Top Bottom