Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Bible unayoenda kufocus ndio Pure Scam
You are going to focus with fictional stories.
Nilitaka kumwambia kitu hichohicho aiseeHiyo Bible unayoenda kufocus ndio Pure Scam
You are going to focus with fictional stories.
Nilitaka kumwambia kitu hichohicho aisee
Hata hiyo bibilia ni skamu tupu1. Sita angalia tena movie Wala kusikiliza Muzik wa aina yoyote ile.
2. Social media zote Twitter, Facebook, Instagram na nyingine zote tazi mute kwa mwaka mzima isipokuwa jamiiforum Pekee.
3. Video za vichekesho na short video zote na Zi mute whole year
4. Status za watu Whatsapp zote na mute and I will never post anything on WhatsApp status.
4. No reading any financial or motivation book kwa sababu ni scam tupu.
I will much focused on bible
2024 a gonna be monster
Huitaji kutumia Bible ili uwe mtu mwema.Wanadamu watu wa ajabu sana[emoji28] mkiletewa simulizi za akina Newtone kukaa chini ya apple tree na kugundua gravitational force, au simulizi za Christopher Columbus za kuizunguka dunia na kutambua kua dunia ni duara, wala hampingi. Ila the good Book (The Bible) ambayo inamuongoza mwanadamu kuishi maisha mema unaona ni fiction. Ujinga ni mzigo mzito.
Daah hongera sana. Bwana akutie nguvu. Ni malengo mema. Unaweza usiyafanikishe yote lakini ni mwanzo na mweleko mwema. Tutafutane inbox maana tuko njia moja katika malengo hayo.1. Sita angalia tena movie Wala kusikiliza Muzik wa aina yoyote ile.
2. Social media zote Twitter, Facebook, Instagram na nyingine zote tazi mute kwa mwaka mzima isipokuwa jamiiforum Pekee.
3. Video za vichekesho na short video zote na Zi mute whole year
4. Status za watu Whatsapp zote na mute and I will never post anything on WhatsApp status.
4. No reading any financial or motivation book kwa sababu ni scam tupu.
I will much focused on bible
2024 a gonna be monster
Vipo vingi tu. Tatizo.watu wengi wanadhani Ilianza Biblia alafu ndio ikaja Dunia. Ukisoma sana Vitabu vya Dini haswa Biblia na Quran utakuwa na "Fear of the Unknown". Hivi vitabu vina ajenda za kibinadamu sanaa na lengo ni kuufanya upande flani uusujudie upande mwingine.Unashauri asome kitabu gani unachoona sio fiction?
Utakosa vingi kama taarifa za RIP, ndoa, tarifa za makongamano na semina za neno la mungu n.k You can't leave alone in this Universe.1. Sita angalia tena movie Wala kusikiliza Muzik wa aina yoyote ile.