NALA MONEY yafungua ofisi yake ya kwanza Afrika jijini Nairobi, Kenya

Mimi huwa sielelewagi, yaani pesa ipo Tigo pesa kwa mfano, nataka kutuma kwenda CRDB , kwanini nisitume moja kwa moja hadi nitumie hiyo app?
 
Wakata mauno,machawa,wadakudaku

Wanapewa kipaumbele

Ova
Yeah siku hizi ndio wenye ushawishi wa kuendesha hadi kampeni za kitaifa 🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️
 
Tanzania alifungua ila akafunga coz TRA na TCRA walimpelekea invoices za mlolongo wa makodi ambayo alishindwa kuyalipa akaona akaweke headquarters zake London tu.
Wabongo tunafeli mnooo daah inatua huzuni
 
Sasa badala ya kusaidia mzalendo huyu wamamufikisi na milolongo ya makodi ha ha ha, badala wampe kibali an then fedha jinsi zitakavyokuwa zinatumwa wawe wanakata parcentage humohumo / 4%,1.5%its benefit and so so
Roho mbaya za baadhi ya wabongo
 
Sasa badala ya kusaidia mzalendo huyu wamamufikisi na milolongo ya makodi ha ha ha, badala wampe kibali an then fedha jinsi zitakavyokuwa zinatumwa wawe wanakata parcentage humohumo / 4%,1.5%its benefit and so so
Wana akili hiyo?
 
Tanzania alishindwa kufungua au

Ova
Atafunguaje ofisi kwenye nchi ambayo tozo na kodi zimejazwa kila kona😂😂😂??? Waziri sio mbunifu anachojua yeye ni kukamua raia tu kwa mitozo kwenye miamala kaona ya simu haitoshi kahamishia bank
 
Tanzania alifungua ila akafunga coz TRA na TCRA walimpelekea invoices za mlolongo wa makodi ambayo alishindwa kuyalipa akaona akaweke headquarters zake London tu.
Nilhisi hili ndio tatizo then i was right😂 serikali iwe bunifu jamani. VAT ya 18% is more than enough ikitumika kwa usahihi na watu watashawishika zaidi kulipa kodi.

Sio ujinga wa sasa social services kama hospitali mtu unabima ila bado unajilipia madawa. Ni ujinga mno unaenda ofisi ya serikali huduma ni yakusua sua. Tanesco umeme kukatwa katwa hovyo bila maelezo ya kina.

On top of all this mtu anaona atubambikie na tozo juu.
 
Atafunguaje ofisi kwenye nchi ambayo tozo na kodi zimejazwa kila kona😂😂😂??? Waziri sio mbunifu anachojua yeye ni kukamua raia tu kwa mitozo kwenye miamala kaona ya simu haitoshi kahamishia bank
Halafu waziri mwenyewe ana uchu sana na nafasi ya urais. Siku akiupata huo urais mbona watanzania tutatozwa kodi hadi kwenye wingi wa mikojo tunayojikamua.
 
Hatakiwi kuachiwa hio nafasi hata kwa nukta. Abakie na biashara zake tu za mabasi
 
Back
Top Bottom