Nalaani kitendo alichofanyiwa mke wangu siku ya harusi yetu

Nalaani kitendo alichofanyiwa mke wangu siku ya harusi yetu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
RIP Fredwaaa.

Nalaani kitendo alichafanyiwa mke wangu mpendwa siku ya harussi yetu.

Siku ya harusi mke wangu na mimi tukiwa ukumbini tulishtuka kuona mtu akichukua mic na kuanza kumdai waifu mbele ya wageni waalikwa.

Kwani kulikuwa na shida kusubiri wageni watoe zawadi kisha tulipe deni.
 
Mmeanza kufukua makaburi, hata marehem hajazikwa bado...☹️🤔
 
Back
Top Bottom