kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,313
- 7,714
Inasema imebana na tackle hamna ni flat screen!๐๐๐ช๐ท๐ฒ ๐ผ๐พ๐ป๐พ๐ช๐ต๐ฒ ๐๐ฎ๐ท๐๐ฎ๐๐ฎ ๐ฒ๐ท๐ช๐ผ๐ฎ๐ถ๐ช๐ณ๐ฎ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasema imebana na tackle hamna ni flat screen!๐๐๐ช๐ท๐ฒ ๐ผ๐พ๐ป๐พ๐ช๐ต๐ฒ ๐๐ฎ๐ท๐๐ฎ๐๐ฎ ๐ฒ๐ท๐ช๐ผ๐ฎ๐ถ๐ช๐ณ๐ฎ...
Kweli aseeAcha yafie mbali huko kwanza hayana faida kwa nchi hii yanajadili Mambo ya ovyo wakoti nchi inaangamia
Inasema imebana na tackle hamna ni flat screen!๐๐๐ช๐ท๐ฒ ๐ผ๐พ๐ป๐พ๐ช๐ต๐ฒ ๐๐ฎ๐ท๐๐ฎ๐๐ฎ ๐ฒ๐ท๐ช๐ผ๐ฎ๐ถ๐ช๐ณ๐ฎ...
Ilipaswa spika atoe maelezo na kuwa kuanzia kesho jambo kama hilo lisijirudie.
Yawezekana alikuwa amevaa bikini, ndio mana alionekana chupiless kupitia suruali yake iliyobana flat screen yake.Huyo dada anamtizama mwenzake na macho regea ana majungu kwa facial appearance yake.Amefurahia kinafiki.Na mbunge hajavaa kufuli pia!
Acha Noelia aje atueleze maana ni mwanamke mwenzake!Yawezekana alikuwa amevaa bikini, ndio mana alionekana chupiless.
kwani kuna ukaguzi wa chupi humo kwamba nani kavaa na nani hajavaa...mbona kuna wanaume wanavaa kaptula badala ya boxer ila wamo ndani na wanadunda tu... !!Yawezekana alikuwa amevaa bikini, ndio mana alionekana chupiless.
Tatizo ni Generation crush.Ila kwa pale ameonewa yule mbunge, mbona amevaa kawaida na ki staha kabisa. Yule babu kizee ana lake jambo khaaaah.
Kuna yule Mgombania Maiti ya Mume wa Mtubunge limekuwa sehemu ya wadangaji full vituko.
Aaah yaani mzee aliomba lift njiapanda akatoswa may beYule mzee atakua Mzanzibar tu huku bara hatuna kabisa hizo swaga. Dada atakua alimpiga rejection mzee akamwambia tutaona. Duh! Very bad
Vp yule anaejiita mtetezi wa wanawake au ni kwa wale covid-19 tu??Hivi ni wabunge gani wakuonea huruma hawawa au wengine, wacha wadhalilishane tu maana.
Mchawi akimaliza wa jirani huanza na wakwake.
Bunge la kujadili mavaziIla kwa pale ameonewa yule mbunge, mbona amevaa kawaida na ki staha kabisa. Yule babu kizee ana lake jambo khaaaah.
Una akili za hovyo sana, hata kama ni chuki hii yako imezidi.Yauane menyewe
Vibabu Wanataka wadada waje na madela nini. Huyu Dada kaonewa.Kwa ukweli huu ni udhalilishaji wa makusudi kabisa ambao umefanywa kwa mbunge huyu mwanamke.
Nimeangalia suruali aliyovaa huyu dada si zile suruali za kubana maumbo. nimeshangaa hata spika kutotumia busara kuona kuwa huyu alipaswa kwanza aachwe then aje aangaliwe baadaye.
Kama alishakuwa ameingia bungeni na amekaa, kitendo cha kumsimamisha na kumwondoa hakikuwa cha kistaarabu hata kidogo. Ni wazi kuna jambo ambalo huyu mtoa mwongozo alikuwa nalo dhidi ya mbunge huyu. Maskini mdada wa watu!
Nimengalia ile suruali aliyovaa nyuma mpaka kama inataka kumvuka. Why leo hii ionekane ni ya kuvunja maadili wakati kuna wabunge wengi tu ambao wamekuwa wakivaa sketi ndefu lakin za kubana? Na wanaovaa sketi fupi wapo wengi tu ambao siku zote tunawaona bungeni.
Ilipaswa spika atoe maelezo na kuwa kuanzia kesho jambo kama hilo lisijirudie. lakini kumwondoa mbunge huyu kwa style hii ni kumdhalilisha sana hasa hasa kwa nguo aliyovaa haikuwa ya kubana kuonesha maungo kusema kuwa haikuwa ya staha. Huyu mzee mtoa mada ni wazi kabisa inawezekana ana lake jambo kwa mbunge huyo na amejenga chuki kutokana na jambo hilo.
Anaonekana ni mtu mzima aliyekosa busara, ana mihemko, chuki na husda kwa mtendwa. Angekuwa na busara asingeli-approach jambo hilo kwa style hiyo. Ameli-approach jambo la kiume kama mvulana. Ni bora angeomba ushauri kwa sisi wanaume gentlemen tungemshauri afanye nini.
Nashukuru kwa sasa wapizani hawapo. Wachawi wakimaliza kula watoto wa wengine. Huanza kula wao. Wakimaliza kula wao wanaanza kulana wao kwa wao.
View attachment 1804774
View attachment 1804793
Kwa hili kaonewa sana tena sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Kwa ukweli huu ni udhalilishaji wa makusudi kabisa ambao umefanywa kwa mbunge huyu mwanamke.
Nimeangalia suruali aliyovaa huyu dada si zile suruali za kubana maumbo. nimeshangaa hata spika kutotumia busara kuona kuwa huyu alipaswa kwanza aachwe then aje aangaliwe baadaye.
Kama alishakuwa ameingia bungeni na amekaa, kitendo cha kumsimamisha na kumwondoa hakikuwa cha kistaarabu hata kidogo. Ni wazi kuna jambo ambalo huyu mtoa mwongozo alikuwa nalo dhidi ya mbunge huyu. Maskini mdada wa watu!
Nimengalia ile suruali aliyovaa nyuma mpaka kama inataka kumvuka. Why leo hii ionekane ni ya kuvunja maadili wakati kuna wabunge wengi tu ambao wamekuwa wakivaa sketi ndefu lakin za kubana? Na wanaovaa sketi fupi wapo wengi tu ambao siku zote tunawaona bungeni.
Ilipaswa spika atoe maelezo na kuwa kuanzia kesho jambo kama hilo lisijirudie. lakini kumwondoa mbunge huyu kwa style hii ni kumdhalilisha sana hasa hasa kwa nguo aliyovaa haikuwa ya kubana kuonesha maungo kusema kuwa haikuwa ya staha. Huyu mzee mtoa mada ni wazi kabisa inawezekana ana lake jambo kwa mbunge huyo na amejenga chuki kutokana na jambo hilo.
Anaonekana ni mtu mzima aliyekosa busara, ana mihemko, chuki na husda kwa mtendwa. Angekuwa na busara asingeli-approach jambo hilo kwa style hiyo. Ameli-approach jambo la kiume kama mvulana. Ni bora angeomba ushauri kwa sisi wanaume gentlemen tungemshauri afanye nini.
Nashukuru kwa sasa wapizani hawapo. Wachawi wakimaliza kula watoto wa wengine. Huanza kula wao. Wakimaliza kula wao wanaanza kulana wao kwa wao.
View attachment 1804774
View attachment 1804793
Kwa ukweli huu ni udhalilishaji wa makusudi kabisa ambao umefanywa kwa mbunge huyu mwanamke.