Kimbunga Job
Member
- May 13, 2021
- 82
- 172
Binafsi sijaona kam ana makalio ya kuvutia au wenzangu mmeyaona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chizi. Huyo mzee Ni Nani?Yule mzee atakuwa na matatizo yake binafsi. Na hana busara kabisa kumdhalilisha binti namna ile. Angekuwa ni mtoto wake amefanyiwa vile angefurahi? Angeweza mwita pembeni akamwambia au akamtumia mama mtu mzima kumwelewesha. But pia dada hajavaa suruali ya kubana. Mzee mjinga mhuni tu.
Unajua hawa wazee wa zamani ukiunganisha na 'mifumo dume' ni kaaazi kwelikweli... nakumbuka enzi zile hata Waziri mkuu mwendazake Rashid Kawawa,aliwahi agiza mgambo kutembea na nikasikia na kufanya operation ya kuwasaka na kuwachukulia hatua wale wanawake wote waliovaa nguo fupi mitaani..... ilikuwa patashika wakati ule wa siku za siasa ya Ujamaa...... Anyway kazi iendelee.Ni mzee,ana mtazamo wa 1950 huko
Watajuana wenyewe hayo ndio walioyatakaBunge limekuwa sehemu ya wadangaji, full vituko.
Maneno ya nyerere yanaanza kuonekana bungeni. ( Zambi ya ubaguzi .) Walianza kubagua wagombea kwa kuangalia chama chao tu. Sasa mungu anaanza kuwaonyeshea matunda ya umimi. R.I.p nyerere.Kwa ukweli huu ni udhalilishaji wa makusudi kabisa ambao umefanywa kwa mbunge huyu mwanamke.
Nimeangalia suruali aliyovaa huyu dada si zile suruali za kubana maumbo. nimeshangaa hata spika kutotumia busara kuona kuwa huyu alipaswa kwanza aachwe then aje aangaliwe baadaye.
Kama alishakuwa ameingia bungeni na amekaa, kitendo cha kumsimamisha na kumwondoa hakikuwa cha kistaarabu hata kidogo. Ni wazi kuna jambo ambalo huyu mtoa mwongozo alikuwa nalo dhidi ya mbunge huyu. Maskini mdada wa watu!
Nimengalia ile suruali aliyovaa nyuma mpaka kama inataka kumvuka. Why leo hii ionekane ni ya kuvunja maadili wakati kuna wabunge wengi tu ambao wamekuwa wakivaa sketi ndefu lakin za kubana? Na wanaovaa sketi fupi wapo wengi tu ambao siku zote tunawaona bungeni.
Ilipaswa spika atoe maelezo na kuwa kuanzia kesho jambo kama hilo lisijirudie. lakini kumwondoa mbunge huyu kwa style hii ni kumdhalilisha sana hasa hasa kwa nguo aliyovaa haikuwa ya kubana kuonesha maungo kusema kuwa haikuwa ya staha. Huyu mzee mtoa mada ni wazi kabisa inawezekana ana lake jambo kwa mbunge huyo na amejenga chuki kutokana na jambo hilo.
Anaonekana ni mtu mzima aliyekosa busara, ana mihemko, chuki na husda kwa mtendwa. Angekuwa na busara asingeli-approach jambo hilo kwa style hiyo. Ameli-approach jambo la kiume kama mvulana. Ni bora angeomba ushauri kwa sisi wanaume gentlemen tungemshauri afanye nini.
Nashukuru kwa sasa wapizani hawapo. Wachawi wakimaliza kula watoto wa wengine. Huanza kula wao. Wakimaliza kula wao wanaanza kulana wao kwa wao.
View attachment 1804774
View attachment 1804793
Tuwekee kwanza dressing code ya bungeni..Kwa ukweli huu ni udhalilishaji wa makusudi kabisa ambao umefanywa kwa mbunge huyu mwanamke.
Nimeangalia suruali aliyovaa huyu dada si zile suruali za kubana maumbo. nimeshangaa hata spika kutotumia busara kuona kuwa huyu alipaswa kwanza aachwe then aje aangaliwe baadaye.
Kama alishakuwa ameingia bungeni na amekaa, kitendo cha kumsimamisha na kumwondoa hakikuwa cha kistaarabu hata kidogo. Ni wazi kuna jambo ambalo huyu mtoa mwongozo alikuwa nalo dhidi ya mbunge huyu. Maskini mdada wa watu!
Nimengalia ile suruali aliyovaa nyuma mpaka kama inataka kumvuka. Why leo hii ionekane ni ya kuvunja maadili wakati kuna wabunge wengi tu ambao wamekuwa wakivaa sketi ndefu lakin za kubana? Na wanaovaa sketi fupi wapo wengi tu ambao siku zote tunawaona bungeni.
Ilipaswa spika atoe maelezo na kuwa kuanzia kesho jambo kama hilo lisijirudie. lakini kumwondoa mbunge huyu kwa style hii ni kumdhalilisha sana hasa hasa kwa nguo aliyovaa haikuwa ya kubana kuonesha maungo kusema kuwa haikuwa ya staha. Huyu mzee mtoa mada ni wazi kabisa inawezekana ana lake jambo kwa mbunge huyo na amejenga chuki kutokana na jambo hilo.
Anaonekana ni mtu mzima aliyekosa busara, ana mihemko, chuki na husda kwa mtendwa. Angekuwa na busara asingeli-approach jambo hilo kwa style hiyo. Ameli-approach jambo la kiume kama mvulana. Ni bora angeomba ushauri kwa sisi wanaume gentlemen tungemshauri afanye nini.
Nashukuru kwa sasa wapizani hawapo. Wachawi wakimaliza kula watoto wa wengine. Huanza kula wao. Wakimaliza kula wao wanaanza kulana wao kwa wao.
View attachment 1804793Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo
Mbunge wa Momba Condester Michael Sichalwe ametolewa ndani ya ukumbi wa Bunge ili akabadilishe mavazi yake baada ya Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar kuomba muongozo wa Spika kuwa kuna baadhi ya Wabunge wamevaa mavazi yasiyo na maadili. Spika baada ya kumuamrisha kuondoka Bungeni pia...www.jamiiforums.com
Labda supika alitupa ndoana ikatelezaNimeangalia suruali aliyovaa huyu dada si zile suruali za kubana maumbo. nimeshangaa hata spika kutotumia busara kuona kuwa huyu alipaswa kwanza aachwe then aje aangaliwe baadaye.