Nalaani Mbunge Condester Michael kutolewa ndani ya Bunge kisa Mavazi, ameonewa na kudhalilishwa kwa makusudi

Inasikitisha.

Lakini hawa wabunge walivyopatikana kimagumashi na maguvu ya Hayati Jiwe, sina hamu nao kabisa. Ngoja tuu wapambane na hali zao!
Hahaha wee nae lol, ila kwa suala binafsi yule mbunge kaonewa tyuuh.
 
Lazima alikataliwa tyuuh hakna kingine. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo ni Generation crush.

Babu aliyekuwa na hii bado yuko kwenye 1980 s wakati sasa ni 2021.... Nafikiri ustaafu kwa kikomo cha umri kianze kutumika ngazi zote na siyo kwa watumishi peke yao.
Ndo tatzo lililopo, yaan yule mdada mbunge alivotajwa had akabaki anaduwaa kwa mshangao tyuuh lol, yaan haelew [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo ni Generation crush.

Babu aliyekuwa na hii bado yuko kwenye 1980 s wakati sasa ni 2021.... Nafikiri ustaafu kwa kikomo cha umri kianze kutumika ngazi zote na siyo kwa watumishi peke yao.
Ni kweli generation gap inahusika hapa hasa kati ya mtoa hoja na mhusika.
 

Wewe kweli ni Chizi
 
Zee s*nge tu huyo mbunge kavaa vizuri tu anataka wote wanawake wavae miushungi kama mama yao,pumbavu kabisa
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Watajijua, WENYEWE ili Hali wote ni ccm ,
 
Aibu kwa wabunge wa huuo mbaba mtu mzima.....


Cha ajabu kuna wanawake bungeni wameona ni sawa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…