Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Swali hilo hata Pascal Mayala(Mayalla)sic lipo kwenye mdomo wake ila hawaulizi ni lini viongozi wa CCM na familia zao wataacha kugawana vyeo vya uongozi ndani ya chama na serikalini!Huyu mtangazaji wa Clouds anatumiwa na CCM kwa maslahi ya nani? Yuko laivu mida hii halafu anamuuliza mchungaji Msigwa "the forbidden question "
Jamaa amemuuliza Msigwa eti ni lini Mbowe ataachia nafasi ya Uenyekiti? Kwa kifupi Msigwa alishindwa kabisa kulijibu swali hili zaidi ya kuruka ruka.
Mimi Kama Chadema nalaani Sana swali hili, na sitaki liulizwe tena na mtu mwingine.
Maji ya mvua ya kwetu matamu kuliko ya kwenu.