Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Swali hilo hata Pascal Mayala(Mayalla)sic lipo kwenye mdomo wake ila hawaulizi ni lini viongozi wa CCM na familia zao wataacha kugawana vyeo vya uongozi ndani ya chama na serikalini!Huyu mtangazaji wa Clouds anatumiwa na CCM kwa maslahi ya nani? Yuko laivu mida hii halafu anamuuliza mchungaji Msigwa "the forbidden question "
Jamaa amemuuliza Msigwa eti ni lini Mbowe ataachia nafasi ya Uenyekiti? Kwa kifupi Msigwa alishindwa kabisa kulijibu swali hili zaidi ya kuruka ruka.
Mimi Kama Chadema nalaani Sana swali hili, na sitaki liulizwe tena na mtu mwingine.
Ungesikiliza mahojiano haya ya mtu intellectual pengine nawe ungepata akili japo kidogo.Hicho chama alikianzisha baba mkwe wa Mbowe, hatutakiachia kirahisi, Bora tukivunje kuliko kukiachia. Tutakivuruga kama NCCR au CUF, zidisheni kelele ndio mtajua hamjui, pale Kuna Hela zetu, jasho letu, na damu yetu, it is our family project
Kwanini Msigwa ashindwe kujibu swali rahisi kama hilo?
Mbowe alishasema ataachia madaraka this year, sioni ugumu wa hilo swali, na hata muuliza swali anaonekana anatembea na maswali ya kukariri kwenye kazi yake, ndio maana Mkapa aliwaita kanjanja.
Mtangazaji kabla ya kuuliza angalau aingie mtandaoni na kujiridhisha na katiba ya CDM. Swali linakuwa la kichawa chawa kunguni kunguni kama hataki kurejea miongozo!
Ipo siku tutasikia kile chama ni changuu, akili zitakaa sawaNdio mjibu ukomo ni lini na kama ni mwenyekiti wa milele ijulikane sio mnaleta janjajanja kwenye katiba
Huyu jamaa ukisoma utagundua anawaponda chadema na mbowe kiainaDemokrasia unayoipigania ni ipi sasa kama swali dogo Tu kama hlo unafura na unalaani
Msaga sumu kama msaga sumu. Smart phone upewe Lumumba halafu utetee mambo ya CHADEMA? Nani kasema.Huyu mtangazaji wa Clouds anatumiwa na CCM kwa maslahi ya nani? Yuko laivu mida hii halafu anamuuliza mchungaji Msigwa "the forbidden question "
Jamaa amemuuliza Msigwa eti ni lini Mbowe ataachia nafasi ya Uenyekiti? Kwa kifupi Msigwa alishindwa kabisa kulijibu swali hili zaidi ya kuruka ruka.
Mimi Kama Chadema nalaani Sana swali hili, na sitaki liulizwe tena na mtu mwingine.
Umeandika kutoka moyoni, mkononi au mawazoni?Huyu mtangazaji wa Clouds anatumiwa na CCM kwa maslahi ya nani? Yuko laivu mida hii halafu anamuuliza mchungaji Msigwa "the forbidden question "
Jamaa amemuuliza Msigwa eti ni lini Mbowe ataachia nafasi ya Uenyekiti? Kwa kifupi Msigwa alishindwa kabisa kulijibu swali hili zaidi ya kuruka ruka.
Mimi Kama Chadema nalaani Sana swali hili, na sitaki liulizwe tena na mtu mwingine.
Demokrasia unayoipigania ni ipi sasa kama swali dogo tu kama hilo unafura na unalaani
'Tone'ya maandishi yako tu inasomeka kabisa kuwa wewe si CHADEMA. Usijivika ukondoo usiokuwa nao. Wewe ni fisi tu!!Huyu mtangazaji wa Clouds anatumiwa na CCM kwa maslahi ya nani? Yuko laivu mida hii halafu anamuuliza mchungaji Msigwa "the forbidden question "
Jamaa amemuuliza Msigwa eti ni lini Mbowe ataachia nafasi ya Uenyekiti? Kwa kifupi Msigwa alishindwa kabisa kulijibu swali hili zaidi ya kuruka ruka.
Mimi Kama Chadema nalaani Sana swali hili, na sitaki liulizwe tena na mtu mwingine.
Mnataka katiba mpya wakati katiba yenu ya hovyo, ya kifalme, halafu nyie ndio mlipinga mjomba wenu Jiwe asitawale mile, wakati ndani ya nyumba yenu kuna mtu anatawala mileleMtangazaji kabla ya kuuliza angalau aingie mtandaoni na kujiridhisha na katiba ya CDM. Swali linakuwa la kichawa chawa kunguni kunguni kama hataki kurejea miongozo!
Waalimu wa SAUT huwa hawaendi kusoma? Huyu miaka na miaka hajafikia udaktari, ngoja tuwachongee TCUUngesikiliza mahojiano haya ya mtu intellectual pengine nawe ungepata akili japo kidogo.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Tuna laani kitendo hicho dhalimu kabisa, mtangazaji unauliza ni lini m/kiti wa chama ataachia ngazi?! Mtangazaji huyo awe na adabu...Huyu mtangazaji wa Clouds anatumiwa na CCM kwa maslahi ya nani? Yuko laivu mida hii halafu anamuuliza mchungaji Msigwa "the forbidden question "
Jamaa amemuuliza Msigwa eti ni lini Mbowe ataachia nafasi ya Uenyekiti? Kwa kifupi Msigwa alishindwa kabisa kulijibu swali hili zaidi ya kuruka ruka.
Mimi Kama Chadema nalaani Sana swali hili, na sitaki liulizwe tena na mtu mwingine.
Wewe ni kanjanja,jibu swali vizuri,anaachia Uenyekiti kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA au anavyojisikia yeye Mbowe!Kwanini Msigwa ashindwe kujibu swali rahisi kama hilo?
Mbowe alishasema ataachia madaraka this year, sioni ugumu wa hilo swali, na hata muuliza swali anaonekana anatembea na maswali ya kukariri kwenye kazi yake, ndio maana Mkapa aliwaita kanjanja.
Kwani Mbowe alikuwa anajipa uenyekiti binafsi kwa maamuzi yake au alikuwa akipigiwa kura na wanachama wake?Ahhhhhhh kosa kubwa au niseme utoto mkubwa wa wanachama wa Siasa ndo huu: hukuna kukubali changamoto hasa zikiwa zinawagusa. Kubali it’s not normal na ni changamoto kubwa kwa Demokrasia lakini Chama kinajitajidi kurekebisha nk.
Msilete maneno ya kitoto. Chama cha Demokrasia kinapaswa kutofautisha ufalme, ukoo na familia. Mbowe is a good man na usakosi wa Vyama ndo unamfanya atawale miaka hii mingi. Mana ukiachana na wajinga wengi wa CHadema humu ambao ni debe Tupu, Mbowe anaamini anachokisimamia.
Kwani mtu kuamua kuondoka madarakani mwenyewe sio demokrasia?Wewe ni kanjanja,jibu swali vizuri,anaachia Uenyekiti kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA au anavyojisikia yeye Mbowe!
CHADEMA kumejaa mazwazwa mengi sana! Yanapigania demokrasia wakati yenyewe hayajui hata maana ya demokrasia!!!
Akili ya jamaa ndipo ilipogotea, pamoja na changamoto zote zinazilikabili Taifa kwa sasa hasa za ki kiuchumi na kisiasa - lakini yeye akili yake imemtuma tu kujua ni lini Mh. Mbowe ataondoka CDM - hiyo ndiyo priority yake kwa sasa.Jamaa amemuuliza Msigwa eti ni lini Mbowe ataachia nafasi ya Uenyekiti?
Kwa msimamo huo, wewe sio mwana Demokrasia. Mwanademokrasia anapaswa kuwa na ngozi ngumu, yaani kuwa tayari kusikia na kujadili suala /hoja lolote/yoyote mradi tu halivunji/haivunji sheria.Huyu mtangazaji wa Clouds anatumiwa na CCM kwa maslahi ya nani? Yuko laivu mida hii halafu anamuuliza mchungaji Msigwa "the forbidden question "
Jamaa amemuuliza Msigwa eti ni lini Mbowe ataachia nafasi ya Uenyekiti? Kwa kifupi Msigwa alishindwa kabisa kulijibu swali hili zaidi ya kuruka ruka.
Mimi Kama Chadema nalaani Sana swali hili, na sitaki liulizwe tena na mtu mwingine.
Kwa hiyo unataka kutuambia Katiba ya CDM inatekelezwa kutegemea mapenzi ya mtu!!? "Mbowe alisema ataachia madaraka this year!!"[emoji23][emoji23]Kwanini Msigwa ashindwe kujibu swali rahisi kama hilo?
Mbowe alishasema ataachia madaraka this year, sioni ugumu wa hilo swali, na hata muuliza swali anaonekana anatembea na maswali ya kukariri kwenye kazi yake, ndio maana Mkapa aliwaita kanjanja.