Nalaani suala la Sizya wa Clouds kuuliza ukomo wa Uenyekiti wa Mbowe

Hicho chama alikianzisha baba mkwe wa Mbowe, hatutakiachia kirahisi, Bora tukivunje kuliko kukiachia. Tutakivuruga kama NCCR au CUF, zidisheni kelele ndio mtajua hamjui, pale Kuna Hela zetu, jasho letu, na damu yetu, it is our family project
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa msingi huo, katiba mpya tunayoitaka tunaenda KUONDOA UKOMO WA URAIS rais agombee mpaka sanduku la kura litakapomkataa kama ilivyo Uganda, Rwanda na CHADEMA.

Asante.
 
Kwa
Ngu sizya amekosea? Democracy ya chadema iko wapi?
 
Angewauliza CCM lini wataacha wizi wa kura ili tupate washindi halali. Ila tatizo kubwa la clauds ni la ushoga
 
Mbona maswali kama haya haulizwi Lipumba/Cheyo/nk. Tukishawatoa majambazi madarakani tutafuata mfumo unaotakiwa wa kidemokrasia. Kwa sasa subirini kwanza tupigane vita. Huwezi kumwambia kamanda wa vita anayeelekea kwenye ushindi arudi nyuma uwafaidishe maadui!
 
Kwa hiyo unataka kutuambia Katiba ya CDM inatekelezwa kutegemea mapenzi ya mtu!!? "Mbowe alisema ataachia madaraka this year!!"[emoji23][emoji23]
Mbowe kafuata sheria, elewa, hapa sio sheria imemfuata Mbowe, unaposema Katiba ya Chadema inatekelezwa kutegemea mapenzi ya mtu, unaonesha hujui kufikiria kwa makini.
 
Ukomo wa Chairman wa CDM ,nenda kasome katiba ya Chadema inasemaje kuhusu uenyekiti wa Chama, na mtu kama wewe kwenda so low kuhusu eti Mh.Msigwa kushindwa kujibu swali hili inajionyesha ni jinsi gani upumbavu uliopo kwenye mada yako, na sio kweli kuwa uongozi wa CDM hautaki au unajisikia vibaya kuulizwa swali kama hili.
 
Hicho chama alikianzisha baba mkwe wa Mbowe, hatutakiachia kirahisi, Bora tukivunje kuliko kukiachia. Tutakivuruga kama NCCR au CUF, zidisheni kelele ndio mtajua hamjui, pale Kuna Hela zetu, jasho letu, na damu yetu, it is our family project
Wew ni James mbowe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Fair enough Adv.Mayala ila media ni vema muwe honestly ili kulinda taaluma zenu,ulimuuliza swali President Magufuli (rip),alivyokujibu wewe uliridhika na jibu lake?taaluma hii ndani ya nchi yangu imeshakua corrupted na matokeo yake tumepoteza waandishi waliokuwa wanaifanyia haki taaluma hii, pls Adv.Mayala nenda tena na uisome katiba ya Chadema inasemaje kuhusu nafasi ya Chairman then urudi hapa pls, serikali ya chama cha ccm bado ina watendaji toka awamu ya kwanza ya utawala wetu!,tufikirie kama President Nyerere (rip)angejiuzuru na watendaji wote na President Mwinyi angeingia na watendaji wapya nchi ingekua wapi?
 
Halafu waandishi wenyewe wa Clouds!!,ona maswali waliomuuliza president kikwete kwenye 72yrs ya miaka yake?,ni crap tupu
 
Ha ha haaaaaa
 
😂
 
Mpaka wenyewe Chadema watakaposema sasa basi hawatamchagua !!
 
Halafu waandishi wenyewe wa Clouds!!,ona maswali waliomuuliza president kikwete kwenye 72yrs ya miaka yake?,ni crap tupu
Ulitamani wandishi wa media gani ndo wamuhoji Ili isiwe crap?
 
Kwanini Msigwa ashindwe kujibu swali rahisi kama hilo?

Mbowe alishasema ataachia madaraka this year, sioni ugumu wa hilo swali, na hata muuliza swali anaonekana anatembea na maswali ya kukariri kwenye kazi yake, ndio maana Mkapa aliwaita kanjanja.
Hata akiachia hawatapata nafuu yoyote kwani ataingia mwamba Heche
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…