masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Mambo ni complicated lakini nitaeleza Part VI kama mambo yanavyojitokeza.Mkuu vp Clara ushampa mimba nyingine??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ni complicated lakini nitaeleza Part VI kama mambo yanavyojitokeza.Mkuu vp Clara ushampa mimba nyingine??
hawa latest ndio dealWaziri wa zamani...early 90's
Wengi tulikuwa tunaita maji mma wakati marehemu akiwa Waziri, pumzika kwa amani
Hii ndiyo Taarifa ambayo imepatikana siku ya leo, Kiula amewahi kuwa Mbunge wa Iramba na waziri wa Ujenzi (1985 - 1995)
Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zinavyotufikia.
Pia soma
Kwa hiyo umebadili na I'dAmenishindwa nimepata kingwine
Sawa unitag ukianzishaMambo ni complicated lakini nitaeleza Part VI kama mambi yanavyijitokeza.
Waziri wa Ujenzi wa Mzee Ally Hassan Mwinyi ambae alilipuliwa kwny report Rushwa ya 1996 ya Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba
... alikuwa mbunge wa jimbo ambalo mbunge wake leo ni Mwigulu.Pole zake Nalialia Kuula.
Alikuwa na roho mbaya!
Lakini RIP
Kamrithisha Jimbo na Roho yake !... alikuwa mbunge wa jimbo ambalo mbunge wake leo ni Mwigulu.
JPM siyo saiz yenu wapuuzi nyie yule ni icon ya WaafrikaJPM naye alifaa apandishwe kisutu
Huyu ambaye hajawahi kuhutubia hata AU?JPM siyo saiz yenu wapuuzi nyie yule ni icon ya Waafrika
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Angehutubia kwa kiingereza kipi?Huyu ambaye hajawahi kuhutubia hata AU?
Aiseee !!Angehutubia kwa kiingereza kipi?
Pengine cha Ndalichako[emoji1787]
The Mkapa aka funga jela.....!!Waziri wa Ujenzi wa Mzee Ally Hassan Mwinyi ambae alilipuliwa kwny report Rushwa ya 1996 ya Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba
MmhHuyu mzee alipiga dili kwenye mabasi ya UDA na yeye akaletewa basi dogo moja.
Singida rushwa ni kama Uji na Mgonjwa!
Usilolijua ni usiku wa gizaHuyu mzee alipiga dili kwenye mabasi ya UDA na yeye akaletewa basi dogo moja.
Singida rushwa ni kama Uji na Mgonjwa!