TANZIA Nalaila Kiula aliyekuwa Mbunge wa Iramba Magharibi na Waziri afariki dunia

TANZIA Nalaila Kiula aliyekuwa Mbunge wa Iramba Magharibi na Waziri afariki dunia

"Mzee Kiula" hili jina sio geni maskioni mwangu nimewahi kuliskia kwenye wimbo wa bongo flava za zamani sjui ni Mwana FA yule kwenye "Mabinti DamDam"?!!! Simfahamu kiundani ila anaonekana alikua maarufu kidogo zamani
Anyways RIP Mzee Kiula
 
Hii ndiyo Taarifa ambayo imepatikana siku ya leo, Kiula amewahi kuwa Mbunge wa Iramba na waziri wa Ujenzi (1985 - 1995)

Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zinavyotufikia.

Pia soma
Loh
Baraka Kiula
Bahati Kiula
Neema Kiula na
Amani Kiula poleni sana kwa huu msiba mzito.

Queen Makiula yupo wapi siku hizi? Mnakumbuka alifumaniwa akiwa waziri? Mkewe (RIP) alikuwa pisi kali lakini huyo mama Queen alikuwa moto ya bunyeze haswaa. Shantashanta

Maisha ni mchepuko wa pili
 
Mama Queen nae ni marehemu kwa sasa (RIP)
 
Mama Queen nae ni marehemu kwa sasa (RIP)
Daah so sad.

Lakini Queen yupo wapi siku hizi? Alinitangulia darasa moja pale Jiteute. Mzee Kiula alikula vinono kwa mama yake walah.

Mungu ampumzishe mzee wetu
 
Hii ndiyo Taarifa ambayo imepatikana siku ya leo, Kiula amewahi kuwa Mbunge wa Iramba na waziri wa Ujenzi (1985 - 1995)

Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zinavyotufikia.

Pia soma
Watoto wake hawapo kwenye system?
 
kila hakushinda kesi ile?

Nadhani Katibu mkuu dr.mlingwa ndio alikutwa na hatia na haikuwa ktk kosa la rushwa.

Ktk utetezi wake kiula alidai alikuwa anafanyiwa fitina za kisiasa.
Mlingwa aligungwa, kweli huyu nilizani wizara anamiliki yeye, alipewa rushwa yabCoasta masaki posta coastal mayai. Ilikuwq mzuri balaa, wakatibule coastal yalikuwa magqribya hadhi yanabeba wabunge
 
Back
Top Bottom