TANZIA Nalaila Kiula aliyekuwa Mbunge wa Iramba Magharibi na Waziri afariki dunia

RIP binadamu mwenzetu,kila mmoja atakukumbuka ni jinsi gani aliguswa nawe,mimi nitakukumbuka kwa dala dala yako maridadi kabisa kutoka posta hadi masaki(hii route uliikimata wewe tu!)na mmmmm mkasa ule mbele ya ile restaurant ya La dorce vita pale osterbay!!,but upumzike kwa amani ulikua very hard worker my minister.
 
Wengi tulikuwa tunaita maji mma wakati marehemu akiwa Waziri, pumzika kwa amani
 
Alikuwa wa chama gani ??

Kama ni ccm sawaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…