Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
:thumbup::thumbup:
Teh teh..Haya bana..Vipi hauna mdogo wa kike?
ID yako imenikumbusha mbali sana,Mkabasia,the name of my grandmom.
Mpendwa nataka mtu anayejua kupetipeti kama ww..Naamini mdogo wako atakuwa na vioni kama vyakoMpendwa unataka nyumba ndogo? Si upick mwanakwaya mmoja
Hahhaa bora umuelewe tu, ili usije ukaingia na expectations kibao afu ukakuta hamna kitu. Ikitokea umejibahatishia mmoja kama gelofriend wangu, basi itakuwa zali la mentali
Aiseee huyo jamaa yako ana bahati sana, mavitu yote hayo unamfanyia bado analalamika tu??!! hadi kumbrushia viatu, aisee we noma kwa makea, hongera sana!!
BTW are home-stay mum Evelyn Salt? coz najaribu kuimagine how comes unapata muda wa kufanya yote hayo
The worst thing, najaribu kuimagine how comes unamfulia hadi boksa zake!!?? Yaani jamaa ana kazi ya kuzirundika tu au inakuaje? I mean akienda kuoga anaiacha bafuni chafu au anaiacha chumbani chafu ndo anaenda kuoga? Napata ugumu kuelewa practicality ya hii kitu
Heaven Sent hebu share nami uzoefu wako plz
Mpendwa nataka mtu anayejua kupetipeti kama ww..Naamini mdogo wako atakuwa na vioni kama vyako
Ha ha ha dah bora umemjibu kwakweli mi nlikua nshapata kigugumizi, mito Ndio inakuaga hivi tehI'm a married woman and I do all these,uzoefu ni kuwa,akivua nguo kwenda kuoga anavua na boksa shwaaaaaaaa anachomoa miguu anaiacha hapo chini imekaa kama kibakuli,anafunga towel anaingia bafuni. Ninacollect na kuweka kwenye tenga la nguo chafu kisha nazifua,kama wewe unafua za kwako basi mkeo ana bahati ya nguruwe kuchimba muhogo bila jembe.
evelyn salt"" hayo yote ni sawa kabsa. lkn ili yadumu na yawe na nguvu na uwe tofauti na wengne ni lazma Ukikabidhi Kwa Mungu,maana Hayo Unayofanya Wapo Ambao Wanaweza Kufanya Zaidi.
Wito Wng Kwako Mpeni Yesu Maisha Yenu Nae Atawaongoza Vema.
Nilikuwa sijamsoma vizuri Evelyn Salt, kumbe nature ya kazi yake pia inachangia, ana muda mwingi wa kukaa home.
Manake nilikuwa najaribu kufikiria ratiba ya wifiyo na mimi mwenyewe, ni kwamba hazipishani, tunaondoka asubuhi asubuhi tunarudi late in the evening, wote hoi bin taabani. Sasa muda wa kunifanyia hayo yote atautoa wapi, labda asilale kabisaaa!!! So mengi tu najiongezaga mwenyewe and I don't see a problem
Aliyesema ndoa haina fomula hakukosea I think

Ha ha ha loya nshatoa mfano mmoja naogopa kuongea sana nisijevuka mipaka lol
Okay kingine ambacho nabaki mdomo wazi ye anapenda sana kuwa bize na simu kwangu sio ishu, nipo nae but very bize whatsapp na jf... Mi nikishika simu Oooh analalamika nashinda jf nashinda instagram ha ha ha ha nicheke kama mazuri, juzi nite tulikua somewhere akawa anapiga story na watu story ambazo Sina ideas so I decided kuchukua simu nicheki cheki jf nkashangaa anatuma msg unaniboa sana kuwa bize na simu lol wakati ol the time ye kashika simu yupo bize teh
Ha ha ha dah bora umemjibu kwakweli mi nlikua nshapata kigugumizi, mito Ndio inakuaga hivi teh
Eeeh baba kazidi nayo inaruhusu, muda mwingi nipo home.....
![]()
Wapi kujisifia teh ngoja apaone yule muhaya
i notice something....anapalilia sababu sku mmea ukikua mkubwa usijeshangaa umefikaje hapo...be care bibie jicho lake la tatu halipo kwako!
I'm a married woman and I do all these,uzoefu ni kuwa,akivua nguo kwenda kuoga anavua na boksa shwaaaaaaaa anachomoa miguu anaiacha hapo chini imekaa kama kibakuli,anafunga towel anaingia bafuni. Ninacollect na kuweka kwenye tenga la nguo chafu kisha nazifua,kama wewe unafua za kwako basi mkeo ana bahati ya nguruwe kuchimba muhogo bila jembe.