Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #281
Nakushauri uichunge bahari kwa umakini zaidi. Kuna ladha inachafua maji toka upande wa beach pori.
Haya nimekupata vema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakushauri uichunge bahari kwa umakini zaidi. Kuna ladha inachafua maji toka upande wa beach pori.
I know him, najua anaenjoy....kwa nnavomjua anatamani hata mswaki nimpigishe basi tu lol
Duh babu ningekaa na wewe ningekua mguu juu muda wote
Mwanaume hata umfanyie nini, kichwa cha chini kikimwambia afanye yake anafanya yake, ila keep it up, dont try soooo hard, it's not healthy, inaonekana kama unafanya hivyo kwa kujihami na kwa kusoma kanuni za kitabuni.
Haya bwana. Sasa kinachokupa simanzi ni nini?
hilo jingine pole. Ila natafuta mzungu wa kula naye pensheni. Ukimpata mahali nistue.
Kinachonipa simanzi ni kulalamika kwake kwa kitu ambacho sioni mantiki ya kulalamikiwa, babu ubaguzi nyerere aliukataa naomba hiyo pensheni ule na mimi
Spot on!
Si umesema unayajulia mahitaji yake? Mbona hapa unasema analalamika? Kunakofuka moshi,......
wewe kamuulize tu.
Mambo ya ubaguzi achana nayo. Kanisaidie kama babu na rafiki yako!
Mbwa mzee kujifunza mbinu mpya hili nalo tatizo tena tatizo kubwa.
Huwa naona real men The Boss akiwa among wanasema mwanaume anahitaji mambo matatu: food, sex and space.
Katika hayo mambo kwakweli am doing the best inawezekana kabisa nina mapungufu yangu ila am doing the best kwakweli, food, napika japo sio bonge moja la mpishi kama farkhina but I cook tena delicious ones, sex hii si kuwa tu ni wajibu ila ni hobby yangu kitu ikiwa hobby kifuatacho itv ni known kabisa, space hapa kidogo pananishinda japo najitahidi ila sio kwa fungulia doggy, anaechungwa ni mbuzi kwa binadamu tunafanya kukaba tu japo kukaba kwenyewe ni kulinda bahari ila hivo hivo tu almradi kuna kibao "Punguza mwendo kazi inaendelea mbele" tunapunguziana speed natoa space kwa kiasi Chake may be majukumu yakinizidi itakua zaidi ya hapo.
Apart from hivo vitatu nafanya na mengineyo mengi napika mwenyewe simuachii dada wa kazi, mezani naweka mwenyewe kumake sure kila kitu kipo sawa, nguo nasaidiwa kufua ila boxa nafua mwenyewe, nanyoosha mwenyewe, asubuhi naanda maji ya moto napeleka bafuni (bafu halina heater) muda huo nshaweka nguo za kazini standby na viatu nimebrush kabisa mara chache naandaa Chai sio kila siku kwasababu ni mvivu kula BADILI TABIA bila shaka unanishangaa sana make haya mambo hautajagi ha ha ha nishangae tu ukinishangaa nami na kushangaa.
Swala la heshima na kujali nikijifanyia assessment najiona nina 99%,i do respect him much, much kwakweli nikijilinganisha na ndugu, jamaa na rafiki am the best, naweza kuwavisit katikati ya maongezi mara wachambane na waume zao mara wawafokee kitu ambacho mi huwa nashangaa unawezaje kumchamba mmeo au kumfokea mbele za watu mmh sijawahi na sitakaa nithubutu nikikereka nangoja tukiwa wawili nikiona nachelewa kutoa dukuduku naandika meseji.
Kuna shost angu alishawahi kunitembelea akaishia kunishangaa inakuaje nanyoosha nguo za baby dady yeye wanaishi wote ila hajawahi kumfulia wala kumnyooshea nikamshangaa pia na kuzidi kujiona am the best mie ni "mwanamke" hizi huduma nazionaga kwa wamana watu wazima ndo wanawalea waume zao ila mie kwa age yangu tu hii najiona nipo kama mama lowasa ha ha .
Point yangu what else should I do? Pamoja na kujiona mwanamke, najiona kama mama Lowassa ila bado nalalamikiwa jamani wanaume zaidi ya haya kunakuna yapi tena?au ni human nature tu kwamba hatunaga kuridhika? Au kunanii?
Mwanaume Mwenye Uhitaji na Uthamini wa Hisia katika kupenda Haangalii kipi unakifanya kwake hata kama wewe utaona ndio utendaji wako wa mwisho.. Mwanaume anahitaji Zaidi ya Chukula, mapenzi na Kufuliwa. Heshima tu haiwezi kukufanya uwe mke bora Ikiwa kuna Vidogovidogo ambayo humfanyii au Huvifanyii.. Cha kufanya ni kuwa Huru kwake kwa kuwa tayari ni Mtu wako.. Muulize kipi unachokosea kwake ukiona Hana Jibu jaribu kumbadilishia mazingira ya Kimchezo kwa kutoka nje ya nyumba kwenda kwenye hoteli au lodg na kama siku ukipata nafasi na utulivu hata kama ni bafuni au jikoni unaweza kumaliza nae kwa kuwa kila kitendo kigeni utakachomfanyia kitapunguza lile gubu lako.. mwanaume ni Zaidi ya chakula, heshima na kufuliwa Ubunifu ni wajibu wako dada
Umesema vema mkuu
ahsante Askari Wangu ingawa nauona usaliti kwa mbali kutoka kwako
Ahaa nimekusoma mkuu.
Usiwe na wasiwasi...nipo mwaminifu na mtiifu kwako
sio kule unapohisi mkuu, kule nimewaachia wengine huwezi kuwa na gari linalipakia kila aina ya uchafu harafu wewe ushangilie
Afadhari umekaa mbali mkuu
Inatakiwa mpeana raha...sio kutoa wewe tu...
Ila kibongobongo mwanamke ndio wajitoooooaaa kwa hiyo usishangae
Teh gelofriend bila shaka hata ye ukimuuliza anaweza kua hajui may be nikupe kamfano kadunchu jana mchana mida ya kula nimemnawisha mikono nikampakulia akaanza kula mara kidume cha mbegu kinazunguka pale (our son) nikamchukua kumlisha daddy kamaliza kula mie namlisha mtoto akaanza kunawa mwenyewe eeh nkashangaa analalamika kuwa anajinawisha mwenyewe simhudumii au nlitakiwa nimuache kidume cha mbegu nimnawishe? Maisha ni magumu mweh.... Kuna vitu vidunchu ila vinaumizaga kichwa unaweza hata usilale unakiwaza tu japo kidogo