Nalalamikiwa, nimfanyie nini mpenzi wangu zaidi ya haya?

Babu mbona mi sioni tatizo kwenye hayo , yani mi naona ni majukumu ya kawaida kama kupika, kufanya usafi ndani sioni tatizo....mmh basi maisha ni complications tu haieleweki, ukifanya majukumu tatizo ukikaa miguu juu tatizo kubwa Uuuh

Utamudu kutoa hizo services hadi uwe ajuza? Na usipotoa ukalalamikiwa ni sawa. Haina tofauti na kulipia ice cream ukaletewa ubuyu!
 
Huduma zote hizo kwani yeye ni mlemavu?
 
Mmmm what a wife! That guy should be veryyyy and I mean very greatful! Asichezee shilingi chooni! Wenzie waota wake wa design hio but never live to have them! And others await eagerly for one's silly mistake to have the last laugh! As they say the last laugh is the best! As you stare blindly to such bliss others are staying awake storming on such opportunities! For u miss congrats! I would love to have someone of your type!
 
Sasa naanza kumuelewa housegirl

Yani nikaeeee...........Oh well I'll just brush my husband's shoes. Haha. I'm never that bored.

Anyways she genuinely believes ni wajibu wake and she's happy with it...

evelyne Salt mwaya hongera kwa kutimiza wajibu.... Lakini ni wako peke yako sio wanawake..

TAFADHALI, people fought hard for the freedom we've today, usiturudishe huko.
 
Last edited by a moderator:
WOTE wanaomfurahia mleta Mada ni mivivu tu... Inataka ikaeee isifanye kitu....
 
WOTE wanaomfurahia mleta Mada ni mivivu tu... Inataka ikaeee isifanye kitu....

We pasua kichwa tu.
 
Hapo hamna mapenzi, anakuzingua huyo mwenye mapenzi ya kweli lazima atambue na kukithamini unachofanya. Mwanaume gubu mpk kero. Mfyuuuuuuuuuuu
 
Huduma zote hizo kwani yeye ni mlemavu?

Shikamoo babu Dark City
Hata mimi nilikuwa suprised alot tu, ukishamzoesha mwanaume asiyena shukrani hivyo aisee utakuwa kama mtumwa wake, mana majukumu huzidi pia with age,watoto wataongezeka kazi zitaongezeka pia.

Nashukuru wangu ni wa tofauti hapendi kufanyiwa kila kitu, tunasaidiana karibia kila kitu(na sio kwamba namuambia fanya hivi as siwezi, nooo ni kwa mapenzi yake tu), nahisi na namna alivyolelewa pia maana wazazi wao waliwalea kuwa responsible since utotoni.
 
Last edited by a moderator:

Hata kama angekuwa na shukrani kiasi gani, ukifanya kuwa hayo ni majukumu yako na yanakuwa ni wajibu wako pia. Usipotanya unaonekana mzembe au umeanza tambia mbaya. Lazima ulaumiwe.
 
Dah shemeji eti hii story yako was turning me on wakati nasoma
 
Kwamba anawasha gari anakuacha eeeh huyo kiboko
 
Utamudu kutoa hizo services hadi uwe ajuza? Na usipotoa ukalalamikiwa ni sawa. Haina tofauti na kulipia ice cream ukaletewa ubuyu!

Babu mi sijui til when, ila hivo ndivo nilivo yani hata hiyo na fasi yake ndo ungekuwapo wewe babu DC ningekuwa hivo hivo....we mtu mzima bila shaka umenielewa ndivo nilivo yani ndio maana hata sioni shida
 
Kumpikia mmeo, kumtayarishia nguo, maji n.k ni utumwa???? Ooopsss kama ni utumwa nipo tayari kufungwa minyororo na kuchapwa mijeredi.....is there anywhere nimeandika huo ni wajibu wa kila mwanamke???nah huo ni wajibu wangu mie ES
 
Last edited by a moderator:
Babu mi sijui til when, ila hivo ndivo nilivo yani hata hiyo na fasi yake ndo ungekuwapo wewe babu DC ningekuwa hivo hivo....we mtu mzima bila shaka umenielewa ndivo nilivo yani ndio maana hata sioni shida

Kama ndivyo ulivyo basi endelea tu mdogo wangu. Ila ukilalamikiwa usijisikie vibaya, ni kwa sababu unakuwa hujatimiza wajibu kikamilifu.

Bahati mbaya mie nisingekubali kwa sababu sipendi kujitegemeza kwa mtu ambaye sina uhakika wa kuwa naye milele.
 
Kumpikia mmeo, kumtayarishia nguo, maji n.k ni utumwa???? Ooopsss kama ni utumwa nipo tayari kufungwa minyororo na kuchapwa mijeredi.....is there anywhere nimeandika huo ni wajibu wa kila mwanamke???nah huo ni wajibu wangu mie ES

Ni aina fulani ya utumwa ila kwa sasa huwezi kuelewa
 
Yani leo nna masikitiko kujua umeolewa na tena umeshajifungua kabisaa?

Siku zote nlikuwa najua we ni bikira. Posa niliyosanya naenda kuinywa leo.
 
Yani leo nna masikitiko kujua umeolewa na tena umeshajifungua kabisaa?

Siku zote nlikuwa najua we ni bikira. Posa niliyosanya naenda kuinywa leo.
Unaijua kaisiki lakini? Anaesema haifanyi kazi alikosea masharti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…