Acha wafundishwe ball
Mjifunze kujibu hoja katika uzi husika. Sasa hapo sijui hata unaongelea nini maskini.Ulitabiria kufika mbali baada ya kuona Hakuna zile timu kubwa zinashushwa kutoka CLUB BINGWA kama miaka mingine . Simba bado sana. Inatolewa jasho na hiyo timu ya South ndio ya kuambulia goli moja?. Tena bado refa aliwabeba sana mikia kwenye lile goli lao akasema offside. Mmekutana na timu zote vilema ilikuwa lazima ubahatishe kutabiri ksbb kulikuwa hamna tena timu kubwa kushushwa kutoka club bingwa.
Nikuambie sasa hizo goli mbili mlizotundikwa kwa kiwango cha akina Hamza,akina panzi kurukaruka. Wale sio Al Masry kwamba utageuze matokeo. Hesabu imeisha hiyo.
Huna lolote unabwabwaja tuuJuzi hapa nilisema kuna makosa mawili ya nje ya uwanja ambayo yanaenda kuinyima Simba ubingwa wa CAFCC ila nikasita kuyataja.
Kuna watu walinihusia sana niyataje makosa hayo ili yafanyiwe kazi. Baada ya mechi ya jana nimesukumwa niyataje mapema na nione kweli dhamira ya kusikiliza maoni ya watu wenye jicho la tatu yapo ama la.
Uzi wa mwanzo ni huu hapa.
Ukitaka kujua najua ninachoongea, niliwahi kusema hawa Berkane inabidi kina Mavambo, Nouma na Okejepha wapewe nafasi mbele ya Ngoma na Zimbwe. Tuliona jana walilazimika kuingia na leo hii baada ya mechi watu wanasema kitu hiko hiko.
Turudi sasa katika yale makosa niliyokuwa nayazungumzia.
Kosa la kwanza ni kuelemewa na shinikizo la kisiasa na kushindwa kumuenzi ipasavyo Prof. Philemon Sarungi. Huyu mzee alikuwa Simba kindakindaki na hadi alipewa tuzo ya heshima ila kutokana na mambo ya kisiasa na wanasiasa kujipenyeza katika timu hasa kipindi hiki, naona kama kuna jambo halikwenda sawa. Ili Simba itwae kombe hili, ni lazima ndani ya kipindi hiki wafanye jambo la heshima kumuenzi Sarungi na liwe kwa ukubwa na uwazi unaostahili.
Pili, ni jezi. Hili haikuwa sehemu ya yale makosa mawili niliyoongea juzi ila nimeona nilipe kipaumbele maana niliwahi kuliongelea katika mashindano ya AFL.
Kuweka jezi ya timu pinzani katika jezi yako ni kujipunguzia baraka. Kipindi kile nilishauri hizo jezi ziwe kwa ajili ya mashabiki tu ila wachezaji wasizivae au ikibidi sana basi zionyeshe tu tarehe na fainali ya CAFCC ila timu pinzani isitajwe. Nakuhakikishia Simba ikivaa tena jezi za namna hiyo katika mechi ya pili ambazo zinaitaja Berkane, itafungwa tena.
Jambo nililoliacha ambalo katika sababu za kwanza lilikuwepo na bado naamini linaleta ugumu kwa Simba ni mlolongo na uhusika wa wanasiasa katika maandalizi ya timu. Nimeshaongelea sana suala la ndege, nimeshaongelea sana suala la kubeba mashabiki wazee ambao siyo washangiliaji walioambatana na timu. Nitawaacha wenyewe mfanye tathmini kama hayo ya ndege na mashabiki yalikuwa na tija ama la. Ila kuna hili la mlolongo wa hotuba kwa wachezaji. Hivi MwanaFa ana nini cha ziada kuwaambia wachezaji baada ya mazoezi ya kujiandaa na mechi ambacho hawakijui zaidi ya kuwaongezea tu pressure na kuwachosha? Mbaya zaidi mnaongea nao kiswahili kwa hiyo nusu ya wachezaji hawajui hata mnawaambia nini. Makosa yanayojirudia na hatujifunzi kwa makosa hayo.
Huwa nasema, kama Serikali inadhani ina uwezo wa kuiletea timu mafanikio mbona miaka nenda rudi timu ya taifa haifanyi vizuri? Mbona timu za serikali kama JKT, Mashujaa, KMC, Prisons, nk. hazifanyi vizuri? Hata hili la kutumia bendera ya taifa kwenye mechi za vilabu ni kosa na halina tafsiri nzuri na linaweza kuwa linaathiri ufanisi wa wachezaji wa kigeni. Sijui watu wanakosa uwezo wa kufikiri au ni mihemko tu. Tusitumie mpira kutafuta umaarufu wa bure bure, kuficha maovu na/au kama chaka la kuwapotezea watu umakini wa kufuatilia mambo mengine muhimu kwa taifa lao.
Sasa hivi mnahaha kuhusu uwanja wa Mkapa. Wakati tunapiga kelele kwa miaka 2 mlituona hatuna cha maana tunachoongea, sasa hivi mnatafuta pa kuficha sura zenu.
Nadhani sasa nimeeleweka. Kazi kwenu kuamua kuyafanyia haya kazi au kuyapuuzia. Einstein aliwahi kusema "Ukichaa ni kufanya kitu kile kile na kutegemea matokeo tofauti". Naomba tutoke kwenye ukichaa.
Goli moja kubwa shehe,Ulitabiria kufika mbali baada ya kuona Hakuna zile timu kubwa zinashushwa kutoka CLUB BINGWA kama miaka mingine . Simba bado sana. Inatolewa jasho na hiyo timu ya South ndio ya kuambulia goli moja?. Tena bado refa aliwabeba sana mikia kwenye lile goli lao akasema offside. Mmekutana na timu zote vilema ilikuwa lazima ubahatishe kutabiri ksbb kulikuwa hamna tena timu kubwa kushushwa kutoka club bingwa.
Nikuambie sasa hizo goli mbili mlizotundikwa kwa kiwango cha akina Hamza,akina panzi kurukaruka. Wale sio Al Masry kwamba utageuze matokeo. Hesabu imeisha hiyo.
Bora hata angejinyamazia tu. Hapo mwanzo alisema kuna sababu mbili! Ila kwenye maelezo yake ameandika gazeti lenye sababu zisizo pungua 200!!Unaona sasa, kumbe hakuna sababu ya maana hata moja.
Big up Kwa comment zilizoshiba. Hatuwezi kuishi na siasa Kila mahali tukafanikiwa. Timu inashinda Kwa jitihada za Wachezaji anasifiwa Mtu ambaye hajaenda uwanjani. Hivi ukitoa 5000000 Kwa Wachezaji 30 wa Simba Kila mmoja atapata kiasi gani Hadi ujisifu hiyo hela imesababisha ushindi?Juzi hapa nilisema kuna makosa mawili ya nje ya uwanja ambayo yanaenda kuinyima Simba ubingwa wa CAFCC ila nikasita kuyataja.