Heaven Sent ni wife materialKuna kichwa kingine kinaitwa Sooth huyu sijui kapotelea wapi ni ndege wa aina moja na Nalendwa pamoja na Heaven Sent
Nawaelewa sana hawa kina dada/mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli halafu upstairs yupo poa sana .Heaven Sent ni wife material
Yeah
Kipindi hicho ulipoteaga sana jf kama unakumbuka vizur kuna kipindi haukuwa hewan
@Heaven sent unamuonea ni romantik sana sema Niko namutafutia bwana nahitaji kuwa na shemeji sasa nimechokaKuna kichwa kingine kinaitwa Sooth huyu sijui kapotelea wapi ni ndege wa aina moja na Nalendwa pamoja na Heaven Sent
Nawaelewa sana hawa kina dada/mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaa na mimi nimefanyaje sasaKipindi hicho ulipoteaga sana jf kama unakumbuka vizur kuna kipindi haukuwa hewan
Uzi wako na wewe unakuja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi hicho ulipoteaga sana jf kama unakumbuka vizur kuna kipindi haukuwa hewan
Uzi wako na wewe unakuja
Sent using Jamii Forums mobile app
Awwwww yani usiku wangu umekuwa amazing ghafla kwa sababu ya hizi comments zenu. This means a lot to me; I truly appreciate dears.Kuna kichwa kingine kinaitwa Sooth huyu sijui kapotelea wapi ni ndege wa aina moja na Nalendwa pamoja na Heaven Sent
Nawaelewa sana hawa kina dada/mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Heaven Sent ni wife material
Yeah
Enjoy!!Awwwww yani usiku wangu umekuwa amazing ghafla kwa sababu ya hizi comments zenu. This means a lot to me; I truly appreciate dears.
Bichwa hilooo espy njoo uone toto lako hukuAwwwww yani usiku wangu umekuwa amazing ghafla kwa sababu ya hizi comments zenu. This means a lot to me; I truly appreciate dears.
@Heaven sent unamuonea ni romantik sana sema Niko namutafutia bwana nahitaji kuwa na shemeji sasa nimechoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Naliona kabisa[emoji14]Hahahah yani ungeliona hilo chogo langu lilivyoongezeka eeeh
Dah nikute sasa mimi kwenye jukwaa la kubeti walahi sijui kama nitaandikwa hivi dah kuna watu wamebarikiwa
Ngoja mimi nirudi kutandika mikeka kule
Sio 'toto' bali 'mtoto', amefanya nini?
Yote sawa tu, hujamuona alivyovimba kichwa vijana walivyomsifia jiandae kuletewa mimbaSio 'toto' bali 'mtoto', amefanya nini?
Koma weee. Vijana wa watu sio waharibifu hataYote sawa tu, hujamuona alivyovimba kichwa vijana walivyomsifia jiandae kuletewa mimba
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] unawajua waharibifu na wasio waharibifu. UmekuaKoma weee. Vijana wa watu sio waharibifu hata