NALENDWA hauko ROMANTIK kabisa dada yangu

NALENDWA hauko ROMANTIK kabisa dada yangu

Yaani ni tom boi flani hv ila naimani atakuua na sauti nyembamba hua nikianza kupotray picha inaninjia mweusi,mwembamba,kazuriiii!!!!hv kizungu km choteee
[emoji23][emoji23][emoji23] amemchambua kama karanga yaani nilivyokuwa nasoma uzi nilikuwa sina mbavu, aliyosema ni kweli ila namna yake ya uwasilishaji mi hoi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom