NALENDWA hauko ROMANTIK kabisa dada yangu

NALENDWA hauko ROMANTIK kabisa dada yangu

Yaani ni tom boi flani hv ila naimani atakuua na sauti nyembamba hua nikianza kupotray picha inaninjia mweusi,mwembamba,kazuriiii!!!!hv kizungu km choteee

Sent using Jamii Forums mobile app

😁😁😂😂😂

Nyie jamani sio kwa kunichekesha huku!😀
Ray huo weusi na wembamba sio kwa kupatia huko...LOL!

Hahaha tomboy tena, mimi namchukuliaga ni kadada fulani kazuri kana urembo wa asili, kacheshi ila kako bize sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom