Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
[emoji3][emoji3][emoji3] unawajua waharibifu na wasio waharibifu. Umekua
Sent using Jamii Forums mobile app
Aniletee kwani imekuwa pesa hiyo?Yote sawa tu, hujamuona alivyovimba kichwa vijana walivyomsifia jiandae kuletewa mimba
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaa umepotelea wapi au ndo T ake kakuficha jukwaa lake la makombora sijui na ma niniSio 'toto' bali 'mtoto', amefanya nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khaa umepotelea wapi au ndo T ake kakuficha jukwaa lake la makombora sijui na ma nini
Kwani amemaliza shule?Aniletee kwani imekuwa pesa hiyo?
BTW wajukuu ni baraka.
Kwani unataka kumlipia ada?
Aibu naona mimi
Kwani unataka kumlipia ada?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aibu naona mimi
Nakutafutia Dada yangu tena utafurah mwenyeweKwa kweli me ni mfilipino mmoja amazing. Haha haya nitafutie tu mdogo angu
[emoji23][emoji23][emoji23] amemchambua kama karanga yaani nilivyokuwa nasoma uzi nilikuwa sina mbavu, aliyosema ni kweli ila namna yake ya uwasilishaji mi hoiNalendwa huyooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]walivyomuanalaizi!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] amemchambua kama karanga yaani nilivyokuwa nasoma uzi nilikuwa sina mbavu, aliyosema ni kweli ila namna yake ya uwasilishaji mi hoi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha tomboy tena, mimi namchukuliaga ni kadada fulani kazuri kana urembo wa asili, kacheshi ila kako bize sanaYaani ni tom boi flani hv ila naimani atakuua na sauti nyembamba hua nikianza kupotray picha inaninjia mweusi,mwembamba,kazuriiii!!!!hv kizungu km choteee
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno yake yanaonesha ni mzuri halafu kembambaHahaha tomboy tena, mimi namchukuliaga ni kadada fulani kazuri kana urembo wa asili, kacheshi ila kako bize sana
Sent using Jamii Forums mobile app