NALENDWA hauko ROMANTIK kabisa dada yangu

Basi leo nimecheka sana.

Namkubali sana huyu dada maana kama angekuwa demu wangu tungeshazindua bomu letu tukishirikiana kwa karibu na ndugu yetu Elungata [emoji3][emoji3]
 
Yaani ni tom boi flani hv ila naimani atakuua na sauti nyembamba hua nikianza kupotray picha inaninjia mweusi,mwembamba,kazuriiii!!!!hv kizungu km choteee

Sent using Jamii Forums mobile app

πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nyie jamani sio kwa kunichekesha huku!πŸ˜€
Ray huo weusi na wembamba sio kwa kupatia huko...LOL!

Hahaha tomboy tena, mimi namchukuliaga ni kadada fulani kazuri kana urembo wa asili, kacheshi ila kako bize sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…