NALENDWA hauko ROMANTIK kabisa dada yangu

Hahahaaaa mkuu iv ikianza vita leo kati ya marekan na urus nan atapigwa?
Iv urus anaweza simama hata nusu saa na marekan kwenye uwanja wa vita?

[emoji106] [emoji122] hizi ndo habari sasa! [emoji2]

Hahahaha....Dah we kijana umefanya usiku wangu uwe mzuri kwa kweli[emoji23]

Usingekuwepo ningekufata na Bombadier, unaona umuhimu wako sasa! [emoji1]
 
Ni kweli lkn changanyika na raia kila pande washangae hata chura yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiwa umeshikilia bunduki kila siku watutisha ujue.
Sijaona hata siku moja ukitaniwa na wachumba ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hahaha!, sikujua kumbe naonekana jike dume! [emoji1]
Ntajitahidi mkuu!
 
Nyie watu lakini! [emoji1]

Sasa ni vizuri kujua nini kinaendelea duniani jamani!
Ni kweli lkn changanyika na raia kila pande washangae hata chura yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiwa umeshikilia bunduki kila siku watutisha ujue.
Sijaona hata siku moja ukitaniwa na wachumba ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha!, sikujua kumbe naonekana jike dume! [emoji1]
Ntajitahidi mkuu!
Kuna siku natamani hata kurushia mashairi mmh roho inasita afande[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…