Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha...ntaanza kufatilia nyuzi zake[emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Beira boy yuko so unpredictable, anaweza kuibuka na chochote!
Hahahaaaa mkuu iv ikianza vita leo kati ya marekan na urus nan atapigwa?
Iv urus anaweza simama hata nusu saa na marekan kwenye uwanja wa vita?
Hahahaha....Dah we kijana umefanya usiku wangu uwe mzuri kwa kweli[emoji23]
Mambo ya fundi hayo....Tena anakufata kwa supersonic speed[emoji38][emoji106] [emoji122] hizi ndo habari sasa! [emoji2]
Usingekuwepo ningekufata na Bombadier, unaona umuhimu wako sasa! [emoji1]
[emoji38] Bombardier za Magu tu zinakatiza sembuse F-35[emoji38]
Usiku bila Chit-chat unawezekana....Nimewavulia kofia wallah! [emoji23] [emoji119]
Ukilitembelea mara kwa mara utalielewa...[emoji23] Asee hilo jukwaa kila nikijarbu kulichunguliaga sijawahi kulielewaga[emoji38]
Hapana aseeeUkilitembelea mara kwa mara utalielewa...
Ni kweli lkn changanyika na raia kila pande washangae hata chura yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiwa umeshikilia bunduki kila siku watutisha ujue.
Sijaona hata siku moja ukitaniwa na wachumba ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahaha eti mada zake za kinaz [emoji23][emoji28][emoji23]
Ukitembelea majukwaa mengi ni exposure ya JF bana, usiwe unaishia nchi za maziwa makuu kama bwana wetu vile...Hapana aseee
Ni kweli lkn changanyika na raia kila pande washangae hata chura yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiwa umeshikilia bunduki kila siku watutisha ujue.Nyie watu lakini! [emoji1]
Sasa ni vizuri kujua nini kinaendelea duniani jamani!
Kuna siku natamani hata kurushia mashairi mmh roho inasita afande[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha!, sikujua kumbe naonekana jike dume! [emoji1]
Ntajitahidi mkuu!
hahahaa huwezi kuwaelewa ..mtu anayemezesha ubongo wake mavitu mazito kama wewe vile ningumu kuzielewa haabari za uvunjifu wa amri ya 6
Sawa Mkuu ntajitahidi kuanzia leoUkitembelea majukwaa mengi ni exposure ya JF bana, usiwe unaishia nchi za maziwa makuu kama bwana wetu vile...