Safi sana dada yangu. Iv wewe kuna watu kabisa huwa wanakuja pm kukutongoza? Maana nahis wanakuogopa ile mbayaHahaha!, jamani utanifanya nijiogope na mwenyewe sasa!
Hakuna B.B niko simple tu mbona!, ila napenda kwenda far and beyond kujifunza.
Huyo siyo mwanaume mkuu tazama mwandiko wake tuBwana mdogo, Hadi leo haujajua namna ya kuwatambua wanaume wanaotumia ID za kike?
Hahaha ndo maana naonaga chenga tu kila nikichunguliaMkuu hilo jukwaa huwa kaz yake ni kujadir aina ya papuch tu
Unaweza kuta maada inazungumuzia kat ya wanawake mabonge na vimbau mbau wapi huwa ni watamu zaidi? Sasa mkuu wewe hapo utajadir kitu gan wakat ukazoea kuchambua drone na akina elungata
hatari mnooo kesha nataka nkimaliza kazi zangu nipitie nyuzi zake zote ambazo sikuwahi kupata fursa ya kuzisoma ..tatizo na wewe umefnga pm yko so siwezi kuzipata nyuzi zako ..so ningezipitia nazenyewe ili niweze kubust huu ubongo ..maana lasivyo nitakuwa zezeta bure
NitashukuruNgoja nije nikutumie mkuu huyu dada ni mwanike wa mbasa
Nataka siku moja kuona dume kajitosa na kukufungulia uz[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Beira boy yuko so unpredictable, anaweza kuibuka na chochote!
Mkuu hilo jukwaa huwa kaz yake ni kujadir aina ya papuch tu
Unaweza kuta maada inazungumuzia kat ya wanawake mabonge na vimbau mbau wapi huwa ni watamu zaidi? Sasa mkuu wewe hapo utajadir kitu gan wakat ukazoea kuchambua drone na akina elungata
Hahaha...sema mada zao za kule kama una stress zako zote lazima ziishe,nachunguliaga mara moja moja ila this time lazima nikutagHahaahhaaaa!, jibu lako limenichekesha![emoji23]
Aiseeh siku ukienda nitag nikuone kidogo. Maana hapa nashindwa kabisa kukupatia picha uko MMU katikati ya mada za kule...lol!
Safi sana dada yangu. Iv wewe kuna watu kabisa huwa wanakuja pm kukutongoza? Maana nahis wanakuogopa ile mbaya
Nataka siku moja kuona dume kajitosa na kukufungulia uz
Kwa mfano siku moja nikiamka nikakuta
NAKUZIMIKIA SANA NALENDWA
Itakuwa poa sana kwahiyo jaribu kujichanganya changanya achana na ze kokuyo na na elungata
Imetokea tu hata me mwenyewe sijui imeanzajeDar aisee mkuu ulianza anzaje kupenda habar vita?