NALENDWA hauko ROMANTIK kabisa dada yangu

NALENDWA hauko ROMANTIK kabisa dada yangu

hatari mnooo kesha nataka nkimaliza kazi zangu nipitie nyuzi zake zote ambazo sikuwahi kupata fursa ya kuzisoma ..tatizo na wewe umefnga pm yko so siwezi kuzipata nyuzi zako ..so ningezipitia nazenyewe ili niweze kubust huu ubongo ..maana lasivyo nitakuwa zezeta bure

Sawa basi hearl, ni vizuri kujifunza kwa kweli! [emoji106]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Beira boy yuko so unpredictable, anaweza kuibuka na chochote!
Nataka siku moja kuona dume kajitosa na kukufungulia uz

Kwa mfano siku moja nikiamka nikakuta
NAKUZIMIKIA SANA NALENDWA

Itakuwa poa sana kwahiyo jaribu kujichanganya changanya achana na ze kokuyo na na elungata
 
Mkuu hilo jukwaa huwa kaz yake ni kujadir aina ya papuch tu

Unaweza kuta maada inazungumuzia kat ya wanawake mabonge na vimbau mbau wapi huwa ni watamu zaidi? Sasa mkuu wewe hapo utajadir kitu gan wakat ukazoea kuchambua drone na akina elungata

[emoji1] [emoji28] [emoji23]

Beira leo umeua Aiseeh! [emoji28] [emoji23]

ze kokuyo
 
Back
Top Bottom