NALENDWA hauko ROMANTIK kabisa dada yangu

Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Wadau za pilika zinasemaje?

Kuna dada yangu mmoja kutoka kolomije anaitwa nalendwa huyu dada ni mrembo lakin hayuko romantik kabisa hata kidogo

Kwanza mda wote utamkuta jukwaa la kimataifa akijadil habar za vita na akina kokuyo na group lao. Yaan ndege zote za kivita za kimarekan, kirus na kiisrael anazijua
Makombora yote ya masafa marefu ya bwana kim anayajua
Yaan manowar zote za mrus anazijua had majina yake

Alafu kinachonisikitisha zaid lugha anayotumia ni kizungu tu
yaan iran akizindua bom jipya tiar nalendwa utakuta kashajua linauwezo gan na linaweza hata piga yerusalem

Nalendwa anamjua had wazir wa ulinz wa iran na marekan, anajua had ni nan yuko nyuma ya vita inayoendelea huko mashariki ya kat

Cha pili yeye mda wote yuko jukwaa la michezo akijadil sijui man city itapigwa mkono na man u, sijui mara lukaku ni noma hata mess hamfikii na story zingine kuhus mchezo

Iv kweli wadau ukiwa na demu kama NALENDWA unaweza hata kumudanganya kitu kuhusu michezo na makombora ya masafa marefu?
.raha ya demu awe hajui chochote kuhusu mchezo na habar za kivita

Sasa huyu nalendwa hii tabia kaitoa wapi?

Badilika bhana nalendwa yaan kiukweli hauko romantik kabisa msukuma mwenzangu

LONDON BOY
That's romantic..
 
Bwana mdogo, Hadi leo haujajua namna ya kuwatambua wanaume wanaotumia ID za kike?
 
aiseeee lakini huyo ndiye aina ya mwanamke ambaye mwanaume anayejitambua anapaswa kuwa naye
binafsi huwa sipndi wanawake wenye mambo mambo mengi yakujifnya watoto wamjini kupitiliza ...muda mwingi wanashirikisha fkra zao ktk mambo yasiyo na tija yakina wema sepetu .zari ..cjui alikiba ..hamisa mobeto ..party kila Siku yaani huwa tunawaita mapaka ..hao hapana aiseee
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Nyie watu lakini! [emoji1]

Sasa ni vizuri kujua nini kinaendelea duniani jamani!
Ni kweli lkn changanyika na raia kila pande washangae hata chura yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiwa umeshikilia bunduki kila siku watutisha ujue.
Sijaona hata siku moja ukitaniwa na wachumba ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom