Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
Wakuu
Binafsi toka msimu ulioisha nimeona ile quality ya Zimbwe na mwenzie Kapombe inapungua na mistakes zinakuwa nyingi hasa kwa kapombe
Mfano Kapombe unakuta anatoa pasi sio sahihi, akipanda anachelewa kurudi, krosi Mara apige nje, muda mwingi naona tunaangalia kijui kiungo, sijui ushambuliaji ila maeneo ya full back kunihitaji rotations.
Ni kweli Kapombe na Zimbwe ni fullbacks bora kuwahi kutokea Tanzania ila swali ni kweli zaidi ya misimu 5 bado quality inaendelea kuwa ile ile, hapana. Kiubinadamu haiwezekani lazima wadrop, ndio nilichokiona mimi since msimu uliyoisha.
Ushauri: Kama Simba umekosa fullbacks wa kuwapa changamoto kwenye wachezaji wa ndani, kwanini usitenge mzigo wa kutosha na kutafuta fullback mzuri ambaye anaweza kucheza hata namba zote 2 na 3 ili aweze kuwapa changamoto?
Nahitaji maoni yenu wadau, ahsanteni, nawasilisha.