Nalia na fullbacks wa Simba yangu!

Nalia na fullbacks wa Simba yangu!

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
Wakuu

Binafsi toka msimu ulioisha nimeona ile quality ya Zimbwe na mwenzie Kapombe inapungua na mistakes zinakuwa nyingi hasa kwa kapombe

Mfano Kapombe unakuta anatoa pasi sio sahihi, akipanda anachelewa kurudi, krosi Mara apige nje, muda mwingi naona tunaangalia kijui kiungo, sijui ushambuliaji ila maeneo ya full back kunihitaji rotations.

Ni kweli Kapombe na Zimbwe ni fullbacks bora kuwahi kutokea Tanzania ila swali ni kweli zaidi ya misimu 5 bado quality inaendelea kuwa ile ile, hapana. Kiubinadamu haiwezekani lazima wadrop, ndio nilichokiona mimi since msimu uliyoisha.

Ushauri: Kama Simba umekosa fullbacks wa kuwapa changamoto kwenye wachezaji wa ndani, kwanini usitenge mzigo wa kutosha na kutafuta fullback mzuri ambaye anaweza kucheza hata namba zote 2 na 3 ili aweze kuwapa changamoto?

Nahitaji maoni yenu wadau, ahsanteni, nawasilisha.
 
Wakuu

Binafsi toka msimu ulioisha nimeona ile quality ya zimbwe na mwenzie kapombe inapungua na mistakes zinakuwa nyingi hasa kwa kapombe

Mfano kapombe unakuta anatoa pasi sio sahihi,akipanda anachelewa kurudi,krosi Mara apige nje muda mwingi naona tunaangalia Sijui kiungo Sijui ushambuliaji ila Maeneo ya full back kunihitaji rotations.

Ni kweli Kapombe na zimbwe Ni fullbacks Bora kuwahi kutokea tz...ila swali Ni kweli zaidi ya misimu 5 bado quality inaendelea kuwa ile ile??...hapana kiubinadamu haiwezekani lazima wa drop ndio nilicho kiona Mimi since msimu ulioisha

Ushauri???....Kama Simba umekosa fullbacks wa kuwapa changamoto kwenye wachezaji wa ndani......KWANINI usitenge mzigo wa kutosha na kutafuta full back mzuri ambaye anaweza kucheza ata namba zote 2 na 3 ili aweze kuwapa Changamoto???

Nahitaji maoni yenu wadau.Ahsanteni Nawasilisha
WACHEZAJI NAO NI BINADAMU, Inafika time wanachoka na kiwango kushuka ni ishu yakawaida kwenye soka

Anyways Yajayo yanafurahisha
 
Ni kweli ila mda mwingine inabidi tupate kocha ambaye anabadilika mfano Nabi alikuwa anabadilika sio Kila siku back4 mda mwingine kocha akiona wachezaji wanachoka tegemezi tengeneza mfumo wa kutumia ata back 3 angalau mmoja zimbwe au kapombe wapumzike.......hii system kwa ubingwa wa afrika bado Sanaa
 
Yeah sure mkuu
 
hao wachezaji Kwa umri wao walitakiwa wasiwe wanacheza mechi zote. Kuna tatizo la kocha kuwapanga mechi zote na pia mashabiki kupiga kelele asipopangwa mmoja wao bila kujali wanavyofululiza kuwapanga wanawachosha na kudumaza viwango vyao.
 
Naunga mkono hoja ila Kapombe msimu uliopita alikuwa kiwango cha juu. Kwenye ngao Kapombe alipwaya kiasi, nakumbuka kusema hivyo mechi na Singida. Zimbwe nilishamuongelea sana nikaonekana labda ni hater au nataka kumuharibia rizki yake, nikawaachia wakulungwa waliseme wenyewe wakati ukifika.

Shida ya Simba wachezaji ambao ndiyo "weakest link" ndiyo macaptain kwa hiyo shughuli ya kuwaweka benchi inakuwa ngumu hata kwa kocha.
 
Popote ulipo agiza kinywaji broo.....uwelewa wako kwenye mpira ni mkubwa sanaa
 
hao wachezaji Kwa umri wao walitakiwa wasiwe wanacheza mechi zote. Kuna tatizo la kocha kuwapanga mechi zote na pia mashabiki kupiga kelele asipopangwa mmoja wao bila kujali wanavyofululiza kuwapanga wanawachosha na kudumaza viwango vyao.
Pia mashabiki uchwara wanazngua kwetu simba........mbona naona kama yanga wao kwenhe inshu ya kocha mashabiki wao hawana miamko na kocha kama simba umeliona hili??
 
Naunga mkono hoja ila Kapombe msimu uliopita alikuwa kiwango cha juu. Kwenye ngao Kapombe alipwaya kiasi, nakumbuka kusema hivyo mechi na Singida. Zimbwe nilishamuongelea sana nikaonekana labda ni hater au nataka kumuharibia rizki yake, nikawaachia wakulungwa waliseme wenyewe wakati ukifika.

Shida ya Simba wachezaji ambao ndiyo "weakest link" ndiyo macaptain kwa hiyo shughuli ya kuwaweka benchi inakuwa ngumu hata kwa kocha.
Yaani kocha ana kazi ngumu mchezaji ambae kocha hamuelewi ndiye captain au ndo mashabiki wanamtaka unafanyaje??

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Na ndo tumewapa kandarasi hadi 2025 tuwavumilie
 
Chekini yanga walifika hadi fainali coz ya kumuachia majukumu kocha.....sisi Simba Nini kimetuloga???.....tunaipenda Sanaa timu yetu Ila kuna muda inabidi tuwaachie wenye profession zao....ww unajidai kuujua mpira umesomea wapi ww???au kuangalia TU kwenye Tv ndio unahisi Ni rahisi kiasi hicho????.....hapana!!!!.....
 
hao wachezaji Kwa umri wao walitakiwa wasiwe wanacheza mechi zote. Kuna tatizo la kocha kuwapanga mechi zote na pia mashabiki kupiga kelele asipopangwa mmoja wao bila kujali wanavyofululiza kuwapanga wanawachosha na kudumaza viwango vyao.
Tatizo kocha akijaribu kufanya rotation washabiki wanamshukia kama mwewe.
 
Chekini yanga walifika hadi fainali coz ya kumuachia majukumu kocha.....sisi Simba Nini kimetuloga???.....tunaipenda Sanaa timu yetu Ila kuna muda inabidi tuwaachie wenye profession zao....ww unajidai kuujua mpira umesomea wapi ww???au kuangalia TU kwenye Tv ndio unahisi Ni rahisi kiasi hicho????.....hapana!!!!.....
Kidogo unatuchanganya. Unataka watu wasitoe maoni yao wawaachie mapro wafanye kazi yao ila wakati huo huo uzi wako unaongelea kasoro katika uchezaji na rotation ya timu. Embu tupe ufafanuzi kidogo.
 
Huyu ni UTO anaejivisha Usimba
 
Nadhani simba wamwamini Mwenda wampatie muda wankucheza kumsaidia kapombe
 
Muwe mnatufuata Hata PM mnatuuliza.

Simba Haina No 6
Haina Kiungo mkabaji No 6
Haina Kiungo C DM NO 6

SIMBA HAINA NAMBA 66666666
 
Chekini yanga walifika hadi fainali coz ya kumuachia majukumu kocha.....sisi Simba Nini kimetuloga???.....tunaipenda Sanaa timu yetu Ila kuna muda inabidi tuwaachie wenye profession zao....ww unajidai kuujua mpira umesomea wapi ww???au kuangalia TU kwenye Tv ndio unahisi Ni rahisi kiasi hicho????.....hapana!!!!.....
Umesahau kuwa Yanga

1) ilikitoa kasoro kikosi kilichocheza na Al Hilal,Sudan akapanga kikosi kilichoendana na mashabiki

2) ilikitoa kasoro kikosi kilichofungwa Taiga na US Alger.

3)walivyotoka 0-0 Taifa na Club African walisema Nani haziwezi mechi za kimataifa.

Kumtoa kasoro kocha kunakuja(ga) tu.

Timu ikiwa inashinda mfululizo na kucheza mpira mzuri mashabiki automatically humpenda kocha na kumtoa kasoro mara chache
 
Muwe mnatufuata Hata PM mnatuuliza.

Simba Haina No 6
Haina Kiungo mkabaji No 6
Haina Kiungo C DM NO 6

SIMBA HAINA NAMBA 66666666
Pamoja na kuwa ali drop kiasi baada ya majeraha, ila Thadeo Lwanga aliweka balance nzuri sana Wakati wake pale Simba, Huyu Putin, Ngoma wanacheza juu sana. Fraga pia alikuwa anaweza ku drop akacheza katikati ya mabeki kiasi hata Mabeki wa pembeni wakipanda, nyuma kunabaki na watu watatu imara. Hilo litabaki kuwatesa simba hasa wanapotaka kuwa timu ya kishambulia zaidi mpaka watakapo lifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom