Nalia na nacte...jaman vp n.i.t

saidry

Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
86
Reaction score
5
wadau hawa nacte wana mpango gani.....vyuo nlivochagua vimetoa selection mie cpo...kimebaki kimoja tu ambacho ni N.I.T ambayo nlifanya chaguo namba moja na mbili...nikikosa apo ndo baaaas ntabeba zege mtaani daaaah hatari kweli hii
 
mambo vp mkuu saidry pliz punguza kuwa na presha kama kweli ulichagua nit kama first and second selection, basi umeshapata nafasi.. Mpaka sasa chuo kinafunguliwa trh 21 october.. Karibu sana mabibo!
Vp lakn coz gan ulichagua?
 
Last edited by a moderator:

nimechagua logistix and transport management na ile ya masuala ya business communication and information technology asee
 
Last edited by a moderator:
mambo vp mkuu saidry pliz punguza kuwa na presha kama kweli ulichagua nit kama first and second selection, basi umeshapata nafasi.. Mpaka sasa chuo kinafunguliwa trh 21 october.. Karibu sana mabibo!
Vp lakn coz gan ulichagua?

naomba unicheki kwny 0717382652 au 0685645615 kuna ishu nataka kujia khs apo chuo bro
 
Last edited by a moderator:
dah.. mm nishajichek kote pia.. nimebakiza hapo tuu tena first choice.. dah.. presha tupu...:Cry:
 
wadau hawa nacte wana mpango gani.....vyuo nlivochagua vimetoa selection mie cpo...kimebaki kimoja tu ambacho ni N.I.T ambayo nlifanya chaguo namba moja na mbili...nikikosa apo ndo baaaas ntabeba zege mtaani daaaah hatari kweli hii

hauko peke yako xo punguza presha"" ya NIT yanatoka wiki ijayo
 
mambo vp mkuu saidry pliz punguza kuwa na presha kama kweli ulichagua nit kama first and second selection, basi umeshapata nafasi.. Mpaka sasa chuo kinafunguliwa trh 21 october.. Karibu sana mabibo!
Vp lakn coz gan ulichagua?

Nisahihi hiyo tarehe ya kufungua mkubwa? mana hata mimi nilichagua kama first choice PROCUREMENT na second hapohapo BBA, mana nina ka DIPLOMA ka procurement GPA 3.7
 
Last edited by a moderator:
Nisahihi hiyo tarehe ya kufungua mkubwa? mana hata mimi nilichagua kama first choice PROCUREMENT na second hapohapo BBA, mana nina ka DIPLOMA ka procurement GPA 3.7

kuuliza co ujinga hv mtiti wa BBA ukoje kuhusu ajira??
 
mi mvivu wa hesabu...hyo logistix and transport mngnt vp wadau???au kuna ma accounts uko nianze kupostpone mapemaaa kbl ht xjachaguliwa
 
Kama mimi mkuu, yani niliomba DIT na UDSM alafu pote sipo yani, na majina ya waliokosa sipo. Now nimetoka DIT kuangalia majina napo simo katika kozi nilo omba... yani nimebaki nashaa tu... ngoja niendelee na kazi maana huu ni uhuni...

wadau hawa nacte wana mpango gani.....vyuo nlivochagua vimetoa selection mie cpo...kimebaki kimoja tu ambacho ni N.I.T ambayo nlifanya chaguo namba moja na mbili...nikikosa apo ndo baaaas ntabeba zege mtaani daaaah hatari kweli hii
 
NACTE? haijulikani mkuu, cha msingi nenda kwenye vyuo ulivyoomba ukatazame kozi ulizoomba, mie nimeenda DIT sipo katika kozi nilizo omba, na UDSM majina ya Equivalent ni ya kuhesabu, na katika majina ya walio kosa vyuo sipo lol!

Ivi ni kweli man, NACTE watatoa wiki ijayo ?
 
Kama mimi mkuu, yani niliomba DIT na UDSM alafu pote sipo yani, na majina ya waliokosa sipo. Now nimetoka DIT kuangalia majina napo simo katika kozi nilo omba... yani nimebaki nashaa tu... ngoja niendelee na kazi maana huu ni uhuni...

Oya mkuu ya Dit yapo wapi nataka nimchekie mdogo wangu unaweza kuyatupia mkuu
 
mi mvivu wa hesabu...hyo logistix and transport mngnt vp wadau???au kuna ma accounts uko nianze kupostpone mapemaaa kbl ht xjachaguliwa
mkuu saidry, logistics ni course ambayo mwanzo mwisho imejaa mathematics kuanzia statistics, accounting, economics, finance, business mathematics na mengineyo.. please nakuomba usiwe na pressure coz kila kitu ni juhudi za mtu mwenyewe.. KUMBUKENI KUNUNUA SCIENTIFIC CALCULATORS!!!!!! moja kati ya koz nzuri basi ni hii!
 
Last edited by a moderator:
Nisahihi hiyo tarehe ya kufungua mkubwa? mana hata mimi nilichagua kama first choice PROCUREMENT na second hapohapo BBA, mana nina ka DIPLOMA ka procurement GPA 3.7
bwana ngumukumeza ni sahihi kabisa hiyo tarehe ya kufungua.. hizo ni true detail ambazo tumezitoa kwa uongozi wa chuo!! karibu sana nit!
 
Last edited by a moderator:
kila la heri huko N.I.T mkuu utakutana na mtu anaitwa galilava pale ndio registrar uwe makini kwelikweli maana kusoma chini ya huyo mtu ni karaha tupu.GOD BLESS YOU.
 
dah.. mm nishajichek kote pia.. nimebakiza hapo tuu tena first choice.. dah.. presha tupu...:Cry:
mr johnshedo kama kweli ulikuwa na vigezo vya kuingia pale, basi nit ushaingia.. cha msingi, wote ambao mmechagua pale inabidi mwende chuoni kabisa mabibo mwisho then mchukulie joining instructions kwa bwana benja(huyu ndiye atakayekuwa anawasajili).. @cc ngumukumeza saidry isqo omy na wengineo ambao mmechaguliwa hapa nit!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…