saidry mim hapa nimeona kupitia airtel, ndo maana najitamba sasa nasubiria official announcement 4rm NIT.. Kwhyo 2uombeane...
ingia tcu kaka mambo yamenoga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
saidry mim hapa nimeona kupitia airtel, ndo maana najitamba sasa nasubiria official announcement 4rm NIT.. Kwhyo 2uombeane...
tukutane NIT trh 21 mtanikuta kwa wale tutakao kuwa nao kwa BBA
Hata mimi nipo hapo BBA lakini hiyo trh ni kwa wale second year na kuendelea lakin first year itakua ni mapema zaidtukutane NIT trh 21 mtanikuta kwa wale tutakao kuwa nao kwa BBA
hahahahaha sa hiv nacheka jaman nikweli nimechaguliwa hapo..:smile-big:
kijana mayb ubahatishe mtu wa kukubeba! lakn hostel kwa watu wa degree hamna.. hata hao wa certificate na diploma haziawatoshi! andaa kabisa shs laki 2 kwa ajili ya accomodation kwa semista.. bongo movie[/QUOTE
hizo hostel za laki mbili kwa semester.. zipo mbali na NIT NA zinapatikanaje
Wakurugenzi samahanini nahisi NACTE watakuwa na element za uhuni kidogo,mshikaji kaaply uko NACTE selection zimetoka but vyuo vyote ajapata,na ajapewa feedback cos walio kosa hayupo na waliopata hayupo,its hard time and painfull,sasa naombeni ushauri wa haraka,
mkuu saidry, logistics ni course ambayo mwanzo mwisho imejaa mathematics kuanzia statistics, accounting, economics, finance, business mathematics na mengineyo.. please nakuomba usiwe na pressure coz kila kitu ni juhudi za mtu mwenyewe.. KUMBUKENI KUNUNUA SCIENTIFIC CALCULATORS!!!!!! moja kati ya koz nzuri basi ni hii!