Nalia na nacte...jaman vp n.i.t

Nalia na nacte...jaman vp n.i.t

millz mbona account yangu ya tcu na facult zipo vle vle..
 
tukutane NIT trh 21 mtanikuta kwa wale tutakao kuwa nao kwa BBA
Hata mimi nipo hapo BBA lakini hiyo trh ni kwa wale second year na kuendelea lakin first year itakua ni mapema zaid
 
ham ha jana wew si ulikua unalalamika kuhusu NIT vp hebu tujuze mwana umeangalia wap?
 
hahahahaha sa hiv nacheka jaman nikweli nimechaguliwa hapo..:smile-big:
 
hahahahaha sa hiv nacheka jaman nikweli nimechaguliwa hapo..:smile-big:

Wakurugenzi samahanini nahisi NACTE watakuwa na element za uhuni kidogo,mshikaji kaaply uko NACTE selection zimetoka but vyuo vyote ajapata,na ajapewa feedback cos walio kosa hayupo na waliopata hayupo,its hard time and painfull,sasa naombeni ushauri wa haraka,
 
kijana mayb ubahatishe mtu wa kukubeba! lakn hostel kwa watu wa degree hamna.. hata hao wa certificate na diploma haziawatoshi! andaa kabisa shs laki 2 kwa ajili ya accomodation kwa semista.. bongo movie[/QUOTE

hizo hostel za laki mbili kwa semester.. zipo mbali na NIT NA zinapatikanaje
 
jaman kila mtu hapo naona anachukua BBA inamaana HUMAN RESOURCE MANAGEMENT hawapo au ndo npo peke yangu?
 
Wakurugenzi samahanini nahisi NACTE watakuwa na element za uhuni kidogo,mshikaji kaaply uko NACTE selection zimetoka but vyuo vyote ajapata,na ajapewa feedback cos walio kosa hayupo na waliopata hayupo,its hard time and painfull,sasa naombeni ushauri wa haraka,

Hawa wanaosema wamepata waliomba kupitia NACTE? Maana mimi na rafiki zangu ambao tuliomb a kupitia NACTE wote hatujapata na ninachodhani NACTE wao watatoa baada ya tarehe sita September ambayo ni deadline ya wale ambao waliamuriwa waapply, ni wale 164 na ambao hawakuomba kabisa. Mimi najua hivi.
 
mkuu saidry, logistics ni course ambayo mwanzo mwisho imejaa mathematics kuanzia statistics, accounting, economics, finance, business mathematics na mengineyo.. please nakuomba usiwe na pressure coz kila kitu ni juhudi za mtu mwenyewe.. KUMBUKENI KUNUNUA SCIENTIFIC CALCULATORS!!!!!! moja kati ya koz nzuri basi ni hii!

Dah!! Thanx jamani... Hata mimi nilichagua hiyo faulty ya NIT lakini sikuijua inahusiana na nini, mana kiukweli ni kilaza wa mathematics. Lakini kutokana na kutotoka kwa majibu ya chuo ikanilazimu niopt Zanzibar University.
 
Last edited by a moderator:
Walk and talk,
usikae unalalamika 2 nenda offisi za nacte au contact TCU
 
nasikia walio rudia kuapply tena ambao walikosa,ndo tumesha kosa.ee mungu tunaomba utusaidie tupate chuo cha kwenda
 
Sawa hosteli za laki 2 zipo sawa, vp vyumba vya kawaida vya kupanga?..
 
Hatujakosa, tcu wametoa majina, nacte bado hawajatoa hadi tarehe 6/09/2013
 
muamala.ebu tutiane moyo kwani mungu ndo anaye jua,ivi we jamaa, nikweli nacte huwa wanapenda kukosesha watu kwenda vyuoni,kuna jamaa mmoja anasema hivi hawa jamaa NACTE huwa hawaachi mtuyeyote sielewi ni kweli au
 
duuuh nacte wanatup mawazo yaaan mpk tareh sita mung wangu
 
vp kuhuhusu posibility ya mkopo maana kozi za pale zote waliziwekea loan
 
Back
Top Bottom