Nalia na nacte...jaman vp n.i.t

Nalia na nacte...jaman vp n.i.t

muamala.ebu tutiane moyo kwani mungu ndo anaye jua,ivi we jamaa, nikweli nacte huwa wanapenda kukosesha watu kwenda vyuoni,kuna jamaa mmoja anasema hivi hawa jamaa NACTE huwa hawaachi mtuyeyote sielewi ni kweli au

Hawachi kama unasifa zile ambazo wameweka. Kwa ufupi wao bado hawajatoa selected students hadi tarehe sita na wameruhusu hata wale ambao hawakuomba kabisa waombe mwisho tarh cta, hii inaashiria kuwa nafac bado zipo ndio maana wanahtaji watu wengne
 
Jamani poleni sana wale wa n.i.t kwa ucheleweshaji.
Mm nna mshkaji wangu yuko pale ndo anaingia mwaka wa pili, kama mnaweza mtafuteni kwa namba hii 0683 011 003 anasoma logistics and transport.. Atawasaidia kila kitu unachotaka kujua!
Cc; saidry, clara njombo, Daud omar na wengineo wa nit
 
Last edited by a moderator:
Jamani naomba kuuliza mimi nimechaguliwa chuo ila nikiingia kwenye system ya tcu sion jina langu nimemaliza diploma inakuaje apo jamani wakuu
 
Jamani naomba kuuliza mimi nimechaguliwa chuo ila nikiingia kwenye system ya tcu sion jina langu nimemaliza diploma inakuaje apo jamani wakuu

umechaguliwa chuo gani ? Hautaweza kuona jina lako kwenye system ya tcu sababu wewe umedahiliwa na nacte.,subiri nacte watoe majina yote ndo utajiona.
 
bwana ngumukumeza ni sahihi kabisa hiyo tarehe ya kufungua.. Hizo ni true detail ambazo tumezitoa kwa uongozi wa chuo!! Karibu sana nit!

wakuu msaaida wenu jamani nimechaguliwa chuo katika majina yaliotoka kwenye vio nikiangalia tcu sion jina langu inakuaje hapo nimemaliza diploma msaada wenu
 
umechaguliwa chuo gani ? Hautaweza kuona jina lako kwenye system ya tcu sababu wewe umedahiliwa na nacte.,subiri nacte watoe majina yote ndo utajiona.

nimechaguliwa mt meru unversty jina langu lipo sasa nahofia nisije nikakosa
 
tupo wote dada.. usiogope.. tutafutane tujuane mapema.. tehe...tehe.. ni furaha tu jaman
:smile-big:
 
Back
Top Bottom