Muamala
Member
- Aug 10, 2013
- 69
- 10
muamala.ebu tutiane moyo kwani mungu ndo anaye jua,ivi we jamaa, nikweli nacte huwa wanapenda kukosesha watu kwenda vyuoni,kuna jamaa mmoja anasema hivi hawa jamaa NACTE huwa hawaachi mtuyeyote sielewi ni kweli au
Hawachi kama unasifa zile ambazo wameweka. Kwa ufupi wao bado hawajatoa selected students hadi tarehe sita na wameruhusu hata wale ambao hawakuomba kabisa waombe mwisho tarh cta, hii inaashiria kuwa nafac bado zipo ndio maana wanahtaji watu wengne